Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

kwa kweli kamba anazokosaga nunez saa nyingine zinakeara

he is a good talent ila sometimes he leaves you with "wtf " question
 
huu mpango ulisukwa liver ashinde
Screenshot_20231105-212851~2.jpg
 
nunuz leo hata namungo hapati namba,,na klop alivyo mwehu anamtoa jota nunez anabaki sijaamini kama klop hana akili
 
Timu Mbovu zilizofungwa na Yanga Msimu huu 2023/2024 mpaka sasa;

1. KMC - Goli 5
2. JKT Tanzania - Goli 5
3. AZAM - Goli 3
4. SIMBA - Goli 5
 
kwa kweli kamba anazokosaga nunez saa nyingine zinakeara

he is a good talent ila sometimes he leaves you with "wtf " question

That lad sijui nini shida na yeye,. Ki ukweli Salah anakosa sana, wachezaji wote wakubwa wanakosa saana, ila kwa Nunez nafikiri unashindwa kuelewa shida ni nini..!!!

What kinda goal like that in less than six yard you and Net, then you miss.

Nunez what us to use If If If sentences,. Like if he is that much clinical he would have 15 goals by now.
 
Dah yaani tunatolewa jasho na Vitoto vinavyoshuka daraja

The issue with Klopp. He has no ambitious with tittles.

Ujue pep 2nd half angewatukana wachezaji na wangerudi kwa ari, zote. Klopp yeye jamaa ni kubembeleza wachezaji muda wote wakikosea ni kuwakumbatia.

Ajifunze kwa makocha waliofanikiwa ukishaanza kubembeleza mchezaji hakuna kitu utafanya. Mechi imeisha mwamba ana smile as if tumeshinda, wakati wachezaji wanacheza utumbo, MACCA as anchor ni disaster lkn Klopp hupenda kuziishi akili zake hata kama hazimlipi.
 
Save hii massage we are going to lose at Etihad stadium.

Why weak defensively issues, both individual and as a team.

Plus hatuna mtu wa kutuliza timu (DM or CAM). Muda wote ni mimbio mbio wakati kuna muda yapaswa kutulia na kulitafuta goli kwa Malengo.

Nunez missed chance another factor itatufungisha Etihad. Moja ya maajabu kwangu msimu huu ni Liverpool kupata point Etihad.
 
Mi nawasubiri tu watetezi wake
Wanajijua[emoji23]

Tukisema dogo ana papara, wanasema haters.

Nunez sasa anatuvua nguo mchana kweupeeeeee, ile sio ya kukosa,. Pale hata angesubiri nusu sekunde angeweka tu,.

Nunez kila kitu anakifanya kwa usahihi movements za hatari, ila kupasia net ndio mtihani.

Ki ukweli anapaswa kuanza kuzomewa labda akili itamkaa sawa. Too much sasa.
 
The issue with Klopp. He has no ambitious with tittles.

Ujue pep 2nd half angewatukana wachezaji na wangerudi kwa ari, zote. Klopp yeye jamaa ni kubembeleza wachezaji muda wote wakikosea ni kuwakumbatia.

Ajifunze kwa makocha waliofanikiwa ukishaanza kubembeleza mchezaji hakuna kitu utafanya. Mechi imeisha mwamba ana smile as if tumeshinda, wakati wachezaji wanacheza utumbo, MACCA as anchor ni disaster lkn Klopp hupenda kuziishi akili zake hata kama hazimlipi.
Kuu hapo ni ambition na sio ambitious
 
Hehehe Mac Allister disaster tena
 
Back
Top Bottom