Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

majukumu yanabana chief lakini nashukuru kwa kunikumbuka

naona timu yetu inatia matumaini
 
🤣 🤣 🤣 Kabisa ni Trent amewatema Under Amour na kujiunga na wakali Adidas.

Mechi ya juzi ndio ilikua mara ya kwanza kuvaa zile jumu hata sokoni hazipo bado mpaka hapo baadae

Dogo kibiashara mauzo...

YNWA
Nyota nyotaaaaa babu weeeh

😂😂😂😂😂😂😂😂

Wengine nyota ya kunguni akina sijui Curtis

Sijui Quansah
Sijui mikasi


Trent sasa🔥
Jina la kishua 🔥
Trent Alexander Arnold Schwarzenegger the great
Future captain
Father of LFC
Lovable one🔥🔥
 
maadam kuna var hakuna shida
 
ni maelekezo ya walimu wao hiyo ipo wazi

walimu walalamikaji na wachezaji wao wanakuwa walalamikaji sana
 
Kazi kwenu
Nitafutieni sasa nafasi huko timu ya wanawake
Mikono yangu kama Ina sumaku hivi ..halafu nimegundua kipa hachoki sana kukimbia kimbia
ahahah mvivu wewe

mazoezi ya goli kipa ndio magumu kuliko ya nafasi yeyote ile chukua hiyo
 
new hendo

liverpool halisi na feki hizi post zinakaribia kurudi jamvini
Hiyo ni misemo ya mwamba mmoja anajiita Bachelor 😂

Anasubiri mtu afungishe aanze kusema
Siku ile matip amejifunga, akasema Matip ni mkombozi🤣

Jana anasema Jones tupo nyuma yako piga kazi😂😂😂
Inshort huu uzi unachekesha hatari 😂😂😂

Liverpool feki mmiliki wa timu kutoka Tukuyu,Malafyale amejaa tele humu
 
ahahah mvivu wewe

mazoezi ya goli kipa ndio magumu kuliko ya nafasi yeyote ile chukua hiyo
Hata kama ni magumu kiasi gani
Akheri nitaabike kwenye mazoezi ila uwanjani nakula goodtime.

I wish
Ila ndoto zangu zishakufa baada ya mfupa wa mguu na mkono kuachia 💔
Madaktari wa Bongo wakaungisha vibaya, nateseka hadi kesho 😭

Mosdef aje anipe connection ya madaktari wa liver
Wauingishe mfupa wangu,, nipo tayari kuchezea timxu hata bure.
 
ahahah mvivu wewe

mazoezi ya goli kipa ndio magumu kuliko ya nafasi yeyote ile chukua hiyo
Juzi kati nilikimbia sana kukwepa kulowana na mvua..

Toka pale mahakama hadi kivukoni Terminal

Nilifanikiwa maana nafyatuka kwelikweli😂
Ila baada ya kufika kichomi kilinikamata hadi nikakaa chini, nikihema nahisi kukata moto.

Nawaza kukimbia dakika 90
Kichomi kikinibana inakuwaje? Ama ndio Kuna mazoezi ya fitness
 
dah huyu malafyale kipindi hicho namkumbuka sana tulikuwa tunasimiana kwa hoja sana mpaka tunapitiwa na hasira na kuchukiana kabisa dah umenikumbusha mbali sana
 
mosdef jamaa yangu longtime bado yupo humu?

mzee wa nondo namkubali sana siku zote
 
Huyu Miss Liverpool aka binti wa Blazing Delicious Cake hakika hakuchoka pia kuniombea...

She is an amazing buddy and a gem here...

YNWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…