Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Babe wangu Trent hana manyoya🤣 🤣 🤣 🤣 Wewe subiria Salah tu wakati miguu ya bebi wako ile.
YNWA
Halafu ni tall hatari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Babe wangu Trent hana manyoya🤣 🤣 🤣 🤣 Wewe subiria Salah tu wakati miguu ya bebi wako ile.
YNWA
majukumu yanabana chief lakini nashukuru kwa kunikumbukaHivi wakuu hawa wapo wapi kitambo sana hawajaonekana hapa jamvini.
Don njinji
Bengalisis
koncho77
Plesis
AggerFirminho
M-mbabe
Penison
Watery
SG8
Ziroseventytwo
Don Clericuzio
BARDIZBAH
Ed n Edd nEddy
Janja weed
kengele maziwa
Nk nk nk.
Popote mlipo Mungu awatunze mrejee jamvini salama Anfield pamenoga sana mdogo mdogo Klopp 2nd cycle imeanza kuonyesha nuru.
YNWA
Hata 7Hag walisema ni professor wa mpiraAlonso the New Sheriff in town tayari timu kadhaa zinamtupia jicho aisee.
YNWA
weupe wa uhispaniola hawamuachiAlonso the New Sheriff in town tayari timu kadhaa zinamtupia jicho aisee.
YNWA
Nyota nyotaaaaa babu weeeh🤣 🤣 🤣 Kabisa ni Trent amewatema Under Amour na kujiunga na wakali Adidas.
Mechi ya juzi ndio ilikua mara ya kwanza kuvaa zile jumu hata sokoni hazipo bado mpaka hapo baadae
Dogo kibiashara mauzo...
YNWA
unafikiri ten hag ni mbovu?Hata 7Hag walisema ni professor wa mpira
Kocha wa makocha
7hag the great
new hendoJones ni mkombozi wetu
maadam kuna var hakuna shidaHivi nini kifanyike kila kukicha wachezaji ni kama wanazidi kua cry babies... Na wakiongozwa na Manchester City na Manchester United yaani ka ishu kadogo hao wanalazmisha refa atoe kadi ama penati huku ikiwa ni wao wenye kosa wanaishia kulalamika balaa hii ishu hata Roy Keane alishaisemea sana sana lakin naona kila kukicha ni kama inakua worse... Jana kuna block alicheza Matip ajabu eti wachezaji karibu wanne wa Manchester City wakawa wanataka penati...
This is absurd na disgrace kabisa tunakoelekea.
YNWA
new hendoJones kama mwalimu wa Mathe
Vipanga tu ndo wanaomuelewa😂😂😂
ni maelekezo ya walimu wao hiyo ipo wazi🤣 🤣 🤣 Aibu sana aisee Gary Nevile na Roy Keane na Carragher wanakemea sana huu "utoto" maana haiwezekani kabisa kutafutiana kadi na penati za michongo hivi hivi...
Sijui kama ni maelekezo ya walimu wao ama namna gani.. Buts its pathetic kuona tena senior players wakitaka huruma ya refa ili wapate maamuzi kuegemea kwao
YNWA
fans wa man city wanamuonyesha vidole viwili wakimaanisha nini na je haiwezi kumuletea shida kwa fa kushangilia mbele ya fans wa mpinzani wako?View attachment 2825693
Hivi jana huyu hata tackle moja alifanya kweli over to you Saint Anne
Good thing alionekana wakati sahihi.
YNWA
ahahah mvivu weweKazi kwenu
Nitafutieni sasa nafasi huko timu ya wanawake
Mikono yangu kama Ina sumaku hivi ..halafu nimegundua kipa hachoki sana kukimbia kimbia
Hiyo ni misemo ya mwamba mmoja anajiita Bachelor 😂new hendo
liverpool halisi na feki hizi post zinakaribia kurudi jamvini
Hata kama ni magumu kiasi ganiahahah mvivu wewe
mazoezi ya goli kipa ndio magumu kuliko ya nafasi yeyote ile chukua hiyo
Juzi kati nilikimbia sana kukwepa kulowana na mvua..ahahah mvivu wewe
mazoezi ya goli kipa ndio magumu kuliko ya nafasi yeyote ile chukua hiyo
Hiyo ni misemo ya mwamba mmoja anajiita Bachelor 😂
Anasubiri mtu afungishe aanze kusema
Siku ile matip amejifunga, akasema Matip ni mkombozi🤣
Jana anasema Jones tupo nyuma yako piga kazi😂😂😂
Inshort huu uzi unachekesha hatari 😂😂😂
Liverpool feki mmiliki wa timu kutoka Tukuyu,Malafyale amejaa tele humu
mosdef jamaa yangu longtime bado yupo humu?Hata kama ni magumu kiasi gani
Akheri nitaabike kwenye mazoezi ila uwanjani nakula goodtime.
I wish
Ila ndoto zangu zishakufa baada ya mfupa wa mguu na mkono kuachia 💔
Madaktari wa Bongo wakaungisha vibaya, nateseka hadi kesho 😭
Mosdef aje anipe connection ya madaktari wa liver
Wauingishe mfupa wangu,, nipo tayari kuchezea timxu hata bure.
Huyu Miss Liverpool aka binti wa Blazing Delicious Cake hakika hakuchoka pia kuniombea...Amin.
Yah uliweka tafrani humu ndani.
Miss Liverpool hakuchoka kukuulizia Bobby.
Na hii ndio true meaning of love.
Mpira umetuleta pamoja , na mpka watu wanaingiwa na hard feelings endapo mtu atakosekana jukwaani kwa muda mrefu basi ni tafrani kabisa.
Mbona kama Salah kwa hayo manyoya ya mguuni😄
Pamoja ndugu. Kila la kheri kwenye mishe.majukumu yanabana chief lakini nashukuru kwa kunikumbuka
naona timu yetu inatia matumaini