Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,339
- 30,439
Hua hairusiwi kushangalie vile mbele ya mashabiki pinzani lakin refa wala hakuona shinda na hakumpa kadi dogo... Kuna uwezekano sana sana akilimwa faini endapo wataona kama alivuka mpaka.fans wa man city wanamuonyesha vidole viwili wakimaanisha nini na je haiwezi kumuletea shida kwa fa kushangilia mbele ya fans wa mpinzani wako?
Aende wapidah huyu malafyale kipindi hicho namkumbuka sana tulikuwa tunasimiana kwa hoja sana mpaka tunapitiwa na hasira na kuchukiana kabisa dah umenikumbusha mbali sana
WamuacheHua hairusiwi kushangalie vile mbele ya mashabiki pinzani lakin refa wala hakuona shinda na hakumpa kadi dogo... Kuna uwezekano sana sana akilimwa faini endapo wataona kama alivuka mpaka.
Alivyoulizwa kwa nini alifanya vile alisema it's was funny na pia akisema pale Ethad sio mahala pa ushindi mara kwa mara kwetu hivyo kwake ilikua ni shangwe.
YNWA
Yupo mwingimosdef jamaa yangu longtime bado yupo humu?
mzee wa nondo namkubali sana siku zote
π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ Nakwambia angekua wodini hapa anatibu majeraha.Wamuache
Kwanza hakuzomea mtu
Ila ingekuwa ndio timu za vijijini kwetu Tukuyu, angelambwa na maweeTrent wangu hadi handsome upotee
Africa sijui tupojeππ€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ Nakwambia angekua wodini hapa anatibu majeraha.
YNWA
Mfumo ubadilike kwa mchezaji mmoja?
Hua hairusiwi kushangalie vile mbele ya mashabiki pinzani lakin refa wala hakuona shinda na hakumpa kadi dogo... Kuna uwezekano sana sana akilimwa faini endapo wataona kama alivuka mpaka.
Alivyoulizwa kwa nini alifanya vile alisema it's was funny na pia akisema pale Ethad sio mahala pa ushindi mara kwa mara kwetu hivyo kwake ilikua ni shangwe.
YNWA
Mambo ya transfers Klopp huwa anakuwa mbishi sana ...We were compact. Kitu kilinifurahisha zaidi mechi ya juzi, Ni jinsi pep alitaka kuutumia upande wa TAA kupenyeza mashambulizi akijua TAA ni dhaifu, TAA na Klopp walilijua hili, hivyo Szobo akapelekwa upande ule kwa sababubya work rate yake, baade TAA hakua akipanda sana ili asipate taabu kukabliana na Doku. Baada ya Doku kuonesha madhara hafifu tofauti na matarajio ya Pep ikabidi Bernado apande juu wakiwa na Doku ili wampiga 2v1 TAA,nayo haiku work to that extent Szobo akasogea chini zaidi Matip akasogea kulia zaidi my upande Chini alipungua Bernado.
Taa alijiandaa sana kuelekea mechi ile, alikuwa na high concentration sana, plus uwanja ulibanwa zile space tunazoziachaga zikapunguzwa.
Ubishi tu wa Klopp angewaondoa kina Keita, Ox, Mikner & Henderson mapeeeeema tungekuwa na 2-3 EPL & 2 CL probably under him.
Ynwa
You're obsessed with him? Humu mara nyingi huwa nasoma tu but inaonyesha unavutiwa sana na huyu kijana..
Kitambo sana namkubali sana dogoYou're obsessed with him? Humu mara nyingi huwa nasoma tu but inaonyesha unavutiwa sana na huyu kijana..
Btw nasubiri nione comments za MosDef , mana sijamuona akichangia kitambo.
Hiyo ni kazi ya Chelsea utashangaa Pochettino kibarua kinaota nyasi [emoji23][emoji23][emoji23]Alonso the New Sheriff in town tayari timu kadhaa zinamtupia jicho aisee.
YNWA
Ujue mpira hauna adabu.
Huenda angeanza Graven angeloa matusi kweli kweli. Yote heri atleast ile battle ya Pep na Klopp tuliiona unlike Last season.
Macca aliupiga kama sio yule licha ya makosa ya hapa na pale Jones alijitahidi kucheza pattern nzuri na Macca kusaidiana kukaba.
Alisson was not on his day but all in all saves as always haijawahi kuwa tatizo kwake ile save ya Foden 1st half tells you his classy on savings.
Ubora wetu msimu huu upo 2nd half kwa sababu ya ubora wa bench lililopo you have Gakpo, Diaz, Endo, Graven and Elliot hawa wanakupa energy nzuri sana. Lets say aanze Diaz na Jota, Nunez and Gakpo upfront bado watakupa energy. Au aanze Gakpo na Nunez bado Jota and Diazi watakupa energy nzuri.
January tupate RB & DM ( Matt Cash for me will be good deal then get Andre). We will be safe.
Kuhusu trent naungana na wewe mara nyingi huwa sifurahishwi na performances zake akiwa fb au kwenye inverted roles ana lack basics nyingi za defending as well as mid player he must thank God he is british playerHe got dribbled (past) SEVEN (7) times kwenye game ya City.
A record kwenye msimu huu mpaka sasa.
Well, he scored a goal.
So, muda wa narratives.