Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,339
- 30,439
Hua hairusiwi kushangalie vile mbele ya mashabiki pinzani lakin refa wala hakuona shinda na hakumpa kadi dogo... Kuna uwezekano sana sana akilimwa faini endapo wataona kama alivuka mpaka.fans wa man city wanamuonyesha vidole viwili wakimaanisha nini na je haiwezi kumuletea shida kwa fa kushangilia mbele ya fans wa mpinzani wako?
Alivyoulizwa kwa nini alifanya vile alisema it's was funny na pia akisema pale Ethad sio mahala pa ushindi mara kwa mara kwetu hivyo kwake ilikua ni shangwe.
YNWA