Nilisema hapa back in March kuwa hii timu is bogus na hawana jipya kwani kila baada ya miaka 5 au 6 wanakujaga na kasi kama ya mwaka jana then wanayayuka kinoma mpaka watu wanajiuliza hivi hii ndiyo timu ile ile? Wadau mkalia na wengine kudiriki kunitukana kwani mlikuwa hamtaki ukweli. Poleni lakini ila hamjifunzi, angalieni rekodi yenu ya PL toka ianze mwaka 1992/1993....mtaona kuwa ni jadi yenu kupiga kelele then mnayayuka mpaka miaka 6 mingine ijayo. Kuleni maumivu tu, Liverpool timu? Utaishije kwa sifa ya mavi ya kale?

U gonna lose again
Benitez ni kocha sahihi Liverpool... jamaa kapewa hela yy kaamua kuzitumia hivyo lkn kocha makin kama benitez asingeweza kufanya ujinga huo... alaf Benitez hakupewa hela ya usajil lakn tim ilikua inakomaa mno... benitez ana mapenz na Liverpool na hadi leo familia yake inaish liverpool
Hahaha hawa majamaa heri wanyamaze tu,wanaishi kwa matumaini
Logic???
Dawa ni kuwachana mkuu.... Maana hua wanatutukana sn hawa Jamaa.....!
Logic hamna kipya mnasindikiza,jipangeni
Dawa ni kuwachana mkuu.... Maana hua wanatutukana sn hawa Jamaa.....!
How????
kwahyo LFC fans ni makaratasi mpaka UYACHANE???
Jibu mwenyewe kwa matokeo ya leo
Unatafuta nini wewe kukoti post yangu??? Umeona mimi nashoboka na wewe????
Ukiona post yangu kaa mbali....!
Me sina familia sasa ya kuipeleka kanisani!!!
Nipe mbinu!
Mbinu undeni band ya taarabu jina losers
This is Liverpool thread..