Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Nilisema hapa back in March kuwa hii timu is bogus na hawana jipya kwani kila baada ya miaka 5 au 6 wanakujaga na kasi kama ya mwaka jana then wanayayuka kinoma mpaka watu wanajiuliza hivi hii ndiyo timu ile ile? Wadau mkalia na wengine kudiriki kunitukana kwani mlikuwa hamtaki ukweli. Poleni lakini ila hamjifunzi, angalieni rekodi yenu ya PL toka ianze mwaka 1992/1993....mtaona kuwa ni jadi yenu kupiga kelele then mnayayuka mpaka miaka 6 mingine ijayo. Kuleni maumivu tu, Liverpool timu? Utaishije kwa sifa ya mavi ya kale?

Maneno ya busara
 
Tukusaidiaje???
 
Benitez ni kocha sahihi Liverpool... jamaa kapewa hela yy kaamua kuzitumia hivyo lkn kocha makin kama benitez asingeweza kufanya ujinga huo... alaf Benitez hakupewa hela ya usajil lakn tim ilikua inakomaa mno... benitez ana mapenz na Liverpool na hadi leo familia yake inaish liverpool

Mrudusheni km ndio roho yenu....! Vinginevyo MV Loser inazama taratibu...... Eti BR kocha makini..... Khe Khe Khe Khe wapi Leo wale Ma Pro-BR?
 
Watu wenye familia zao wote wameshalala sahiv ili kesho wawahi kanisani misa za kwanza..Vijana tu ndo wapo kwenye social networks sahiv...so NASHANGAA kuona watu wazima bado wanapiga makelele mpaka sahiv HUMU!!!..

Laleni jaman, kesho muwahi kuzipeleka familia zenu kanisani!!
 
Ukienda kusali kesho kaiombee na loserfool ishinde j4 na tarehe 8

You will never win again #ywnwa

Khe Khe Khe Khe Khe
 
Back
Top Bottom