Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,420
- 18,298
Nilisema hapa back in March kuwa hii timu is bogus na hawana jipya kwani kila baada ya miaka 5 au 6 wanakujaga na kasi kama ya mwaka jana then wanayayuka kinoma mpaka watu wanajiuliza hivi hii ndiyo timu ile ile? Wadau mkalia na wengine kudiriki kunitukana kwani mlikuwa hamtaki ukweli. Poleni lakini ila hamjifunzi, angalieni rekodi yenu ya PL toka ianze mwaka 1992/1993....mtaona kuwa ni jadi yenu kupiga kelele then mnayayuka mpaka miaka 6 mingine ijayo. Kuleni maumivu tu, Liverpool timu? Utaishije kwa sifa ya mavi ya kale?
Maneno ya busara