Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

People are blaming players kwa perfomance ya leo...But kiukweli wa kulaumiwa hapa ni mtu mmoja tu ni BR!!

players hawastahili lawama zozote zile...Katka first half wachezaji wenyewe walikuwa hawajui wanacheza katika mfumo gani..allen na hendo walikuwa hawaelewi wacheze vipi, PC na RS walikuwa wanaranda tu uwanjani, SG alikuwa haelewi anacheza katika mfumo upi, MB was isolated as usual, yaan team leo ilikuwa hovyo sana..

TATIZO..

when BR came in to LFC, alikuwa anaprefer 4-3-3, with suarez peke yake uptop, lakin ilikuwa ni pass nyingi mwisho wa siku tukaishia nafas ya 7, then akaja kumnunua Danny, so kwa kipind hicho hakutaka kumdrop Danny or Diaz kwenye first 11 hapo ndo akaja na 4-4-2, so it means role ya Raheem ikabadilika, akawa anaruhusiwa kuzunguka nyuma ya Diaz na Danny, hii ikamfanya PC asogezwe ndani kidogo au kuchezeshwa wide, ikumbukwe RS alikuwa ni winger (a typical winger) but kwenye diamond formation BR akamba-dilisha, ndo maana tukawa hatuna winger kabisa kwenye team last season (we only had a shitty Moses)..

Diamond formation ndo ikatuletea mafanikio makubwa last season, but kinachokuja kuchosha ni kwamba BR haitak tena diamond formation...Hendo became a better midfielder katka diamond formation, RS huu mfumo ndo ulimuinua, Danny huu mfumo ndo ulimuinua, Suarez huu mfumo ndo ulimletea magoal 31, PC alipokuwa alicheza katika free role chini ya huu mfumo alionesha UBORA wake ( in short huu mfumo umeimprove a lot of players)..lakin what we're witnesing now ni shocker kwa kweli, huu mfumo wa 4-2-3-1 na 4-3-3 haujawah kufanya kaz chin ya BR, kwann bado anauforce???..kwanini anaung'ang'ania???

UKWELI ni kwamba RS kwa sasa hawez kabisa kucheza kama winger, PC ndo kabisaaa, kiungo kinahitaji maelewano ili mipira ifike mbele..ila katika huu mfumo wa 4-2-3-1 unaua kabisa kiungo...Coz Hendo katika huu mfumo anahama number, SG na Allen wanakuwa wanabadilishana kusogea mbele, so kwa mtindo huo it means chini ya huu mfumo tunakuwa hatuna DM wa kueleweka, coz hapa huwez kumuona SG akicheza deep tena, anakuwa forced kucheza juu, coz chini Both allen na hendo wanakuwa wamepabana, na hii ni kwasababu Hendo anajisahau na kurudi katkat mara kwa mara, coz huku pemben anakuwa anashindwa kufikisha mipira mbele, asa kwa sasa Hendo ndo the best mid tuliyenae, so akishindwa kucheza kwa nafas team haiwez kuperfom (rejea game ya swansea)...

Dunia nzima ya LFC leo ilikuwa inaExpect Borini ataanza, lakin he was benched, Na tukaendelea na mfumo ule ule, hivi kwa akili za haraka haraka tu ni kocha gani ambaye angefanya huo utumbo tena???..mbona ni kitu kidogo tu ambacho hata shabiki wa LFC mtoto anaelewa tu kuwa mifumo ya kipumbavu ya sasa haifanyi kazi??? team inazid kuwa mbovu kila weekend!!!

Lallana ni number kumi, lakin huku LFC anapelekwa akacheze wing ya kushoto, namuonaga akiingia uwanjani huwa anakuwa haelewi afanye nini, (namuoneaga huruma sana)..manake haelewi kocha wake anataka nini, Na ukiangalia LFC inavyocheza utagundua tu players hawapend mfumo wanaocheza, coz unawapeleka kucheza out of position kabisa..

LFC is not failing kwasababu ya wachezaj wapya kibao kwenye team, NO, inafail kwasababu ya MFUMO..

na as long as umespend 100+mill hutakiwi kuwa na excuse yoyote ile, Kwa sababu nakumbuka Last season ye mwenyewe alisema kuhusu Spurs kuwa *if u've spent 100million you must be winning the league*...alikuwa anamuua AVB, lakin yeye aliyespend zaid ya 100+mill analeta excuse za new players (hii syo fair)..tactics za kocha wetu ni Mbovu na hataki kubadilika..

kama tungekuwa tunacheza Diamond formation na kufungwa, sidhan kama ningemlaum BR hapa, ukweli ni kwamba BR anajaribu vitu ambavyo tayari vilishindwa kuleta majibu na watu WAMESHACHOKA..

Tatizo ni kwamba watu washateseka sana na LFC hii for the past 4 years na hawataki tena kurudi kuwa *the laughing stock*...kisa tu manager hatak kubadilika..

Sahiv naona mpaka former managers wa clubs mbali mbali wameanza kum-critize...wenzake washaona tatizo..ye haoni??
 
.......And i dont know why kwann bado ana-mprefer GJ over Manquillo..

GJ is shit..
 
remember when BR rejected to work with LVG as LFC's Director of Football..??
 
Predictions.

RMA 6-0 LFC

LIVERPOOL 0-3 CHELSEA.

U dont have to giveup,najua umechoka,ni kweli timu inachosha lakini hakuna jinsi even this shall pass..BR atapita liverpool itabaki kip that faith.kinachoniumiza sana,ni kua msimu huu hatuna excuse kabisa,misimu iliyopita atleast tulikua tunajiliwaza kua tupo kwenye mapito,bt ths time kwa usajili wa 100+,this day 1 alivouzwa agger BR nlimwona ---- tu na atazidi kujiaibisha tu..YNWA.
 


Alishapewa misimu miwili, na huu wa tatu kaishafundisha game zaidi ya saba.

Muda gani tena mwingine unataka apewe ili a sort hizo mess?
 
Kumekucha tena.... Tutakua ktk hii thread ya LFC mpk game yetu iishe hiyo tarehe 8......!


Wenye Nyumba mmpo? Ngoja niwaite majembe yangu Viol na Grand PA majembe ya ukweli yanayoshabikia Timu ya ukweli Timu isiyokua na Plesha wa mawaa... Timu inayotupa RAHA kila siku na kila kona...! Chelsea Fc....!

Grand PA Viol yani hii Nyumba Jana tu imekwenda na Maji na j4 pale kwa Madrid itakwenda na Upepo Alafu tarehe 8 itapitiwa na Tetemeko kubwa sn na kuanguka... Khe Khe Khe Khe Khe

Cc: Malafyale Baba Kelvin nguvu osokonoi Okhondima Asprin Gwamahala
 
Last edited by a moderator:
mkuu Ntuzu kuna mechi ya Man u,hehehe patamu
 
Last edited by a moderator:
Nataka draw hapa itokeo



Wakipata draw Itakua pouwa sn..... Nataka kuona km Huyu Mzee Van Gaal ata maintain kile kiwango alichocheza na Sisi au atazidi Hapo? Alafu nafahamu ktk top four safari hii loserfool hawapo Kwahiyo Man Utd ndio anarudi ktk nafasi yake... Je Huyu Mzee LVG ataendelea kua poa?
 
Huyu ni kocha mpuuzi mno kupata kutokea ktk historia ya Kops!!

Tatizo sio kuondoka kwa Suarez bali tatizo ni yy kung'ang'ania mfumo wa ajabu usio wahi kutusaidia!

Southampton imeondokewa na wachezaji 7 wa kikosi cha kwanza na bado wanakimbiza,hii ishu ya Suarez kuondoka mimi hainiingiagi akilini kbs.
 
Tutaelewana tu humu! Hatuna kocha,ila mimi siumii hata chembe! Mungu saidia tumalize msimu ktk nafasi ya 7,8 au 9. Akina Henry na Tom Werner waondoe kile kirusi pale.
 
When BR will be #sacked nitafurahi sana sana! No matter who will replace him,ntakuwa na raha sana!

Naelewa sasa why Reading walimtimua huyu jamaa!

Na madudu haya ya RS leo anasema Sterling kama tu Ronaldo hii ikiwa na maana 100% Sterling anaenda kuanza Jumanne?!

Kwa current perfomance ya Sterling hata benchi hatakiwi awepo!Anzisha Lallana achana na huyu mtoto
 
Predictions.

RMA 6-0 LFC

LIVERPOOL 0-3 CHELSEA.

Chelsea ya sasa hamfungi rejuvinated Newcastle St Andrew Park

Chelsea mwenyewe now ana struggle sana sio kama alivyo anza(Ref mechi zake na Man United na QPR)

Chelsea HANIFUNGI Anfield
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…