People are blaming players kwa perfomance ya leo...But kiukweli wa kulaumiwa hapa ni mtu mmoja tu ni BR!!
players hawastahili lawama zozote zile...Katka first half wachezaji wenyewe walikuwa hawajui wanacheza katika mfumo gani..allen na hendo walikuwa hawaelewi wacheze vipi, PC na RS walikuwa wanaranda tu uwanjani, SG alikuwa haelewi anacheza katika mfumo upi, MB was isolated as usual, yaan team leo ilikuwa hovyo sana..
TATIZO..
when BR came in to LFC, alikuwa anaprefer 4-3-3, with suarez peke yake uptop, lakin ilikuwa ni pass nyingi mwisho wa siku tukaishia nafas ya 7, then akaja kumnunua Danny, so kwa kipind hicho hakutaka kumdrop Danny or Diaz kwenye first 11 hapo ndo akaja na 4-4-2, so it means role ya Raheem ikabadilika, akawa anaruhusiwa kuzunguka nyuma ya Diaz na Danny, hii ikamfanya PC asogezwe ndani kidogo au kuchezeshwa wide, ikumbukwe RS alikuwa ni winger (a typical winger) but kwenye diamond formation BR akamba-dilisha, ndo maana tukawa hatuna winger kabisa kwenye team last season (we only had a shitty Moses)..
Diamond formation ndo ikatuletea mafanikio makubwa last season, but kinachokuja kuchosha ni kwamba BR haitak tena diamond formation...Hendo became a better midfielder katka diamond formation, RS huu mfumo ndo ulimuinua, Danny huu mfumo ndo ulimuinua, Suarez huu mfumo ndo ulimletea magoal 31, PC alipokuwa alicheza katika free role chini ya huu mfumo alionesha UBORA wake ( in short huu mfumo umeimprove a lot of players)..lakin what we're witnesing now ni shocker kwa kweli, huu mfumo wa 4-2-3-1 na 4-3-3 haujawah kufanya kaz chin ya BR, kwann bado anauforce???..kwanini anaung'ang'ania???
UKWELI ni kwamba RS kwa sasa hawez kabisa kucheza kama winger, PC ndo kabisaaa, kiungo kinahitaji maelewano ili mipira ifike mbele..ila katika huu mfumo wa 4-2-3-1 unaua kabisa kiungo...Coz Hendo katika huu mfumo anahama number, SG na Allen wanakuwa wanabadilishana kusogea mbele, so kwa mtindo huo it means chini ya huu mfumo tunakuwa hatuna DM wa kueleweka, coz hapa huwez kumuona SG akicheza deep tena, anakuwa forced kucheza juu, coz chini Both allen na hendo wanakuwa wamepabana, na hii ni kwasababu Hendo anajisahau na kurudi katkat mara kwa mara, coz huku pemben anakuwa anashindwa kufikisha mipira mbele, asa kwa sasa Hendo ndo the best mid tuliyenae, so akishindwa kucheza kwa nafas team haiwez kuperfom (rejea game ya swansea)...
Dunia nzima ya LFC leo ilikuwa inaExpect Borini ataanza, lakin he was benched, Na tukaendelea na mfumo ule ule, hivi kwa akili za haraka haraka tu ni kocha gani ambaye angefanya huo utumbo tena???..mbona ni kitu kidogo tu ambacho hata shabiki wa LFC mtoto anaelewa tu kuwa mifumo ya kipumbavu ya sasa haifanyi kazi??? team inazid kuwa mbovu kila weekend!!!
Lallana ni number kumi, lakin huku LFC anapelekwa akacheze wing ya kushoto, namuonaga akiingia uwanjani huwa anakuwa haelewi afanye nini, (namuoneaga huruma sana)..manake haelewi kocha wake anataka nini, Na ukiangalia LFC inavyocheza utagundua tu players hawapend mfumo wanaocheza, coz unawapeleka kucheza out of position kabisa..
LFC is not failing kwasababu ya wachezaj wapya kibao kwenye team, NO, inafail kwasababu ya MFUMO..
na as long as umespend 100+mill hutakiwi kuwa na excuse yoyote ile, Kwa sababu nakumbuka Last season ye mwenyewe alisema kuhusu Spurs kuwa *if u've spent 100million you must be winning the league*...alikuwa anamuua AVB, lakin yeye aliyespend zaid ya 100+mill analeta excuse za new players (hii syo fair)..tactics za kocha wetu ni Mbovu na hataki kubadilika..
kama tungekuwa tunacheza Diamond formation na kufungwa, sidhan kama ningemlaum BR hapa, ukweli ni kwamba BR anajaribu vitu ambavyo tayari vilishindwa kuleta majibu na watu WAMESHACHOKA..
Tatizo ni kwamba watu washateseka sana na LFC hii for the past 4 years na hawataki tena kurudi kuwa *the laughing stock*...kisa tu manager hatak kubadilika..
Sahiv naona mpaka former managers wa clubs mbali mbali wameanza kum-critize...wenzake washaona tatizo..ye haoni??