Tisha-TOTO
JF-Expert Member
- Feb 10, 2010
- 1,175
- 604
Alishapewa misimu miwili, na huu wa tatu kaishafundisha game zaidi ya saba.
Muda gani tena mwingine unataka apewe ili a sort hizo mess?
Kama mnaweza kumpata, why not?
Hell no!
Who needs another f..ng Lalana?
Unajua Ferguson ilimchukua muda gani kuchukua kombe la ligi pale Manure baada ya kuanza kazi??
Msimu uliopita watu mlikuwa mnatembea vifua mbele tulivyokuwa tunawapiga watu 5 nils, 4 nils, 3 nils, etc. Leo mnajifanya mnasahau. Hadi sasa sijaona mtu anayetoa alternative solution hapa zaidi ya blame game na kumtafuta kwa nguvu zote scapegoat (aka BR).
Come on ladies..
Altenative ni BR kubadilisha mfumo ambao haufanyi kazi!
Lakin it seems hatak KUBADILIKA!
watu wanachohitaji ni BR kukubali kubadilika na akubali owners waajiti DOF (director of football) ili asimamie mambo ya usajili..asipende kutawala kila kitu mwenyewe!!
Nakumbuka he almost turned down deal ya kuifundisha LFC, aliposikia FSG wapo kwenye maongezi na LVG kuwa the DoF wa Club..
Kuja kwa Cabaye inamaana BR atataka kumfanya CAN kama DM wetu, na kumrudisha Hendo kulia then Cabaye mbele yao kidogo..that means SG bench litamuhusu...
SG atakubal kukaa bench mara kwa mara???
Unajua Ferguson ilimchukua muda gani kuchukua kombe la ligi pale Manure baada ya kuanza kazi??
Msimu uliopita watu mlikuwa mnatembea vifua mbele tulivyokuwa tunawapiga watu 5 nils, 4 nils, 3 nils, etc. Leo mnajifanya mnasahau. Hadi sasa sijaona mtu anayetoa alternative solution hapa zaidi ya blame game na kumtafuta kwa nguvu zote scapegoat (aka BR).
Come on ladies..
Achana na hizo historia za 80's, mpira wa kipindi hicho Fergie anaanza kufundisha tofauti na sasa. Au kipindi hicho Fergie alitumia pesa kama alivyotumia BR za usajili?, labda uniambie RB apewe tena muda gani wa kuitengeneza timu? (Kumbuka Sasa hivi hatuhitaji stori za kutengeneza timu, tunataka stori za kunyanyua ndoo) Je Msimu kwanza na wa pili haukumtosha kutengeneza timu?
Kwanini SG ndio akae bench na sio Joe Allen? Cabaye anaweza kucheza no.6 au no.8, so naona a perfect combo na SG
Can bado hajathibitisha uwezo wake ndani ya EPL, lakini Cabaye ni tried and tested kwenye EPL
Kwanini mlimuuza Jonjo? Yaani Allen ni mkali kuliko JS? Ni bora Rodgers angekuja na kale kapass master Leon Brighton kuliko huyo Allen

Ntuzu nasikia yale maadhimisho ya sherehe ya magoli ya wiki hii yanaanza leo na kilele chake itakuwa ni jumamosi pale Anfield...
eti ni kweli!?
Ukiacha msimu huu Manchester united sio biggest spender kabisa kwenye issue za transfers, na wamefanya vizuri sana kwenye ligi kuu, Arsenal na wenyewe sio watumiaji wazuri na wanafanya vizuri ukilinganisha na Liverpool kwa miaka mitano iliyopita. Kumbuka kuna timu hazitumii sana fedha na zinafanya vizuri ( A. Madrid, Borrusia D, Arsenal)Mazingjra ya Ferguson then na BR sasa hayana tofauti kimantiki. Kilichopo sasa hivi ni magnified scale ya wakati ule in monetary terms but the scenario are similar, if not he same.
Tafuta transfer fees na players salary scales za wakati ule halafu urudi hapa nikupige darasa.
Kwa ufahamu wako tu, bado FSG hawajawekeza kiasi cha kuifanya LFC iwe kwenye financial bracket ya akina PSG, Chelsea, Man City, Man United, R Madrid, Barca, etc. Hichi ndicho baadhi yetu tunakililia sana na tutaendelea kuwaona FSG ni mabahiri fulani tu. Bila ya hivyo, tutasubiri sana tu hata aje kocha gani.