Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kuna watu humu
Salah mchoyo
Salah mchoyo

Sijui wanataka mtu aweje! Au awe malaika kabisa?

Its football bro. Same kwa anavyokaangwa Nunez ila drought of goals ilivyokuwa kwa Diaz and Gakpo hawakuwa wakiguswa.

Pressure inakuwa kubwa mno kwa fans. Kama Salah alivyokosa PK jana, kelele zikawa Salah asipewe tena PK tutafute mwingine. Mechi imeisha all praised him hahah.

Sasa inabidi uwaelewe watu na uwezo wao wa kuhimili vishindo vya EPL.
 
Wamejitahidi sana hawa watoto,
Tuwape maua Yao

Mechi za mwanzo tu walianza kukiwasha, utadhani ni wenyeji wa miaka nenda rudi..
Hata wakifanya vibaya mimi siwalaumu maana kwanza bado ni wageni..

Kudos. Hata Klopp haamini imewezekanaje watu wamemeza material kiwepesi hivyo.

Vijana wamepiga mzigo haswa.
 
Hongereni kwa kunipigia wale mijusi milia. Endeleeni kupambania ubingwa maana inaonekana sisi tunahitaji kukaa na kujitadakari kidogo halafu tuanze tena kutembeza vichapo
 
Salah anaenda afcon mtatafutana humu.

Kaka usiusibiri wakati huo maana ndio mbaya sana. Ukikutana mbogo aliyetengwa na kundi na bado lina nguvu hata Simba huchagua kwenda kuwinda nyumbu kuliko hao.

Tunajua fika kuna athari zitakuwepo ila sio kubwa kama mfikirivyo. Klopp alishawahi kuwa na situation kama hii huko nyuma wakiondoka Key players Mane and Salah, uzoefu anao na tukavuka Salama with no pressure.

We option kwenye namba yake
Elliot
Jota

Klopp akitwist kidogo tactics zake kuongeza mtu mmoja upande ule kwenye RHS, ama aachane na Inverted RB ili kuongeza namba kwenye eneo la juu abaki kwenye primary 4-3-3. Tutakuwa Salama au aende na 4-2-3-1.

Bado tupo Salama
 

What we need ni depth tu. Miaka yote depth ndio kikwazo kwetu. I would like to see a DM with quality ili kusaidiana na Endo.

Ukiwa na bench zuri una asilimia kubwa za kupata matokeo mud wowote.

Mechi vs Palace (Elliot)
vs Newcastle (Nunez)
vs Fulham (Endo)
vs Newcastle (Jota & Gakpo)

Ni mechi tulizopata matokeo kwa wachezaji kutokea bench. Depth ndio utatuweka mazingira mazuri ya kushindana na kushinda EPL na mengine.
 
Thank you!

Naona leadership haiko sawa uwanjani

Hawaangaliani positions

Na sloboszlai yuko off kabisa
Angalau Klopp aliona mapema sana namna bora ya kupata ushindi.... Kucheza kama unit hua ndio nguzo ya Liverpool na si vinginevyo jana bora kurejea kwenye basics simple basics gemu ilikua imekwenda aisee.
Mashuti kipofu kama yote.... Kila anaesogea kumi na nane anataka kufunga goli kwa kweli hatuwezi kwenda namna ile.

Mechi ijayo Jumamosi Salah hayupo kutoa pasi mkasi kama jana kazi ipo kwa wanaobaki kusaka ukarasa wa nyuma wa magazeti.


YNWA
 
Huwezi kucheza intensity game throught the season. We have many games

FA
Carabao
UEL
Are there, we can use him there.
Hapo sawaaaaaa mkuu.
Imagine pivot ya Macca na Thiago wote hawana "mbio"....
Thiago namkumbali mkuu ishu yangu kwake ni aina ya uchezaji wake kwa sasa naona kama tushaupita aiseeni maoni yangu hayo sina hakika kama anaweza ku adapt kwani tangu yupo Barcelona, Munich staili yake ni ile ile.

YNWA
 
Mkuu Captain Marvelous huku kileleni naskia baridi naombeni koti
Anyway hivi MosDef yuko wapi? Jamaa ana nondo hatari sana
🤣 🤣 🤣 🤣 Kilele cha Mlima Everest hatareee sanaaa....
Sio kazi rahisi kutoka nafasi ya sita msimu ulioisha na kua nafasi ya kwanza msimu huu mpaka sasa... Kongore kwa vijana wamepambana kadri wawezavyo aisee...
Sasa tunaingia lala salama hapa wapo wanaosaka tiketi za top 6,top 4,top 3, wakushuka daraja nk nk ni wakati ambapo margin of error hairuhisiwi na kama ikitokea kama jana basi magoli yawe mengi tu hakuna namna...
Newcastle Mzunguko wa kwanza tulimfunga na jana tumemfunga, zile Mechi tulizotoa sare ndio vijana na walimu wapate mbinu za kupata ushindi na zile tulizopata ushindi mwendo ni huo huo... Mechi ya Tottenham ni ushindi wa VAR lakin wenyewe wanajua aidha ilikua sare ama kipigo kwao..

Mpaka sasa bookies wengi hawakuwapa Liverpool kete kuchukua ubingwa msimu huu. Mara pap Liverpool bingwa wengi wacheza kamari watapotezaaa.

YNWA
 
Nunez is just Nunez hatofunga yes lakin anakupa full mishe pale mbele harudi nyuma anajua kwenda mbele tu hakati tamaa wala nini...
He is made of steel maana kwa zile kosa kosa za jana mchezaji mwingine anakua broken lakin sio Nunez yeye yumo tu....
His working ethics is next level...

Nunez = Never Say Die Attitude.

YNWA
 
Sky Sports Pundits pick half season team 👇
Jamie Carragher's team of the season so far: Vicario, Alexander-Arnold, Saliba, Van Dijk, Udogie, Palmer, Rice, Silva, Salah, Bowen, Son.

Gary Neville's team of the season so far: Alisson, Alexander-Arnold, Saliba, Van Dijk, Udogie, Rice, Rodri, Salah, Bowen, Haaland, Son.

Wachezaji wetu wameingia wa kutosha ma ukiona hivi ujue we mean business..

YNWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…