The MoNA
JF-Expert Member
- Sep 19, 2014
- 4,168
- 10,184
Kuna watu humu
Salah mchoyo
Salah mchoyo
Sijui wanataka mtu aweje! Au awe malaika kabisa?
Its football bro. Same kwa anavyokaangwa Nunez ila drought of goals ilivyokuwa kwa Diaz and Gakpo hawakuwa wakiguswa.
Pressure inakuwa kubwa mno kwa fans. Kama Salah alivyokosa PK jana, kelele zikawa Salah asipewe tena PK tutafute mwingine. Mechi imeisha all praised him hahah.
Sasa inabidi uwaelewe watu na uwezo wao wa kuhimili vishindo vya EPL.