Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hahahahah hawa Liva wanadandia mambo yasiyowahusu, na mimi nasema wapigwe tu, maana hakuna namna nyingine, Jumamosi nasikia mc wa sherehe ya magoli atakuwa Diego Costa kuhitimisha sherehe, kutakuwa na bufee ya nguvu, ufunguzi wa sherehe hii leo utafunguliwa na kina Christian...

Dah! mkuu, hii sherehe sio ya kukosa...

ngojea nimualike na charminglady pamoja na Eiyer...
 
Last edited by a moderator:
Kwa nini wewe hauamini, ingawa na mimi siamini BR kama anaweza kuwa drop SG na RS, kuhusu SG watu wengi hawataki awe kwenye 1st 11ingawa mi sina tatizo nae sana. Upande wangu kikosi ninachokiota kila siku ni kutomuona Lovren,Raheem kwenye 1st 11 na Rodgers na benchi lake. napenda kumuona Borini anapewa nafasi na PC awe anachezeshwa namba yake huku Benitez yupo pembeni anapiga miruzi yake.
 
Resting SG against RMA w'd be a TERRIBLE idea!!

Lets wait and see kama anachokisema Tony Barret kina ukweli...

Kwa maneno ya kocha wenu anaonekana kabisa kashakubali kibano na akili yake iko kwa match dhidi ya Chelsea
 


Mkuu utapigwa humu ktk hii Nyumba ukitoa maneno hivyo.......!

Walipiga kelele sn msimu uliopita na huu msimu mwanzoni, lkn sasaivi Jahazi limeanza kuzama tena BR waliemsifu sn na kuanza kumuita kocha bora ata km hajafikia Hicho kiwango Hana ujanja wa kuliokoa hili Jahazi.... Na alivyo hana mbinu Leo atapenda aende akamfunge Yule BURUDA Ancelotti pale Santiago Hapo ndio atakatwa mishipa ya damu na kurudi Anfild kwa machela....! Khe Khe Khe Khe Khe juve2012 anamfahamu Vzr Huyu BURUDA....!

Ngoja waje Hao kina Eiyer na charminglady tupige story kidogo.... Leo sichezi mbali na Luninga....!
 
Last edited by a moderator:
Kwa maneno ya kocha wenu anaonekana kabisa kashakubali kibano na akili yake iko kwa match dhidi ya Chelsea



Hapo ndio anakosea.... Nakumbuka msimu uliopita aliikania game ya Chelsea kwa kutaka sifa kumfunga Mourinho matokeo yake hakuamini mwenyewe.....!

Na hii jumamosi Muacheni ajidanganye tena..!
 
When BR will be #sacked nitafurahi sana sana! No matter who will replace him,ntakuwa na raha sana!

Af kuna washabiki bado wanaimani nae, na wangependa apewe muda zaidi.
 
Hapo ndio anakosea.... Nakumbuka msimu uliopita aliikania game ya Chelsea kwa kutaka sifa kumfunga Mourinho matokeo yake hakuamini mwenyewe.....!

Na hii jumamosi Muacheni ajidanganye tena..!
Cc@mosdef
 

Attachments

  • IMG_20141104_080822.jpg
    88.8 KB · Views: 1,143
Hahahahahaha ngojea nimuite na ndetichia awe analeta updates za sherehe ya magoli, hiyo sherehe itakapoanza mida ya jioni...
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahaha ngojea nimuite na ndetichia awe analeta updates za sherehe ya magoli, hiyo sherehe itakapoanza mida ya jioni...



Hahahahaaaaa ndetichia mbishi Yule Jamaa...! Ktk thread yao kule ya City hua yuko peke yake anakomaa...! Bora aje huku na yeye asheherekee sikukuu ya Magoli....!


You will never win again #ywnwa
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaaaa ndetichia mbishi Yule Jamaa...! Ktk thread yao kule ya City hua yuko peke yake anakomaa...! Bora aje huku na yeye asheherekee sikukuu ya Magoli....!


You will never win again #ywnwa
Huyo jamaa ni wa noma, kwenye thread ya Azam kaianzisha mwenyewe halafu anaijibu mwenyewe... na yeye aje huku afurahie sherehe ya magoli, hii leo...
 
Tony Barret saying BR anaweza akam-drop SG kesho against RMA!!!

HAHHAHAHAHHAHHA!!

*Bernabeu* should be very very Interesting!

Aki m drop SG tutafungwa 6-0!

Akicheza wote wageni wa noisy za Bernabeu tunapigwa kama watoto!Naunga mkono RS awe dropped sio SG
 
Hahahaaaaa Bale atawauwa hawa watu.... Huku Bale huku Ronaldo katikati pale Benzema, Kz wanayo hawa ndugu zetu......!

Unamfunga kwako QPR wa mwisho kwa penalty ya ajabu!!Au Costa hakucheza na QPR?

Chelsea hanifungi Anfield
 
Aki m drop SG tutafungwa 6-0!

Akicheza wote wageni wa noisy za Bernabeu tunapigwa kama watoto!Naunga mkono RS awe dropped sio SG

i would like SG to be dropped,ila akiamua kumpanga,asicheze CDM role! SG hajawahi kufahamu ku defend vzr...hivi kwanini kama huyu BR anampenda sana SG kwenye starting XI asimpe free role kama Pirlo pale mbele ili amuachie Lucas anayejua kukaba,ku tackle namba yake?
 

Kocha hatuna ndugu yangu!
SG akipewa role yake aliyo izoea huwa anacheza vyema sana!!

Kipindi cha pili na Madrid tulicheza diamond tukawa dhibiti sana lkn I bet you leo atarudi na upuuzi wake ule ule wa 4-2-3-1
 

Naona mkuu Ntuzu umejenga kambi anifield..karibu sana.. L0eo saa saba kasoro usiku tutafutane nikukumbushe kya mpira sio hali ya hewa kwamba unaweza kuutabiri.
 
Last edited by a moderator:

hahahahahhaaha!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…