Mkuu wa chuo
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 7,620
- 5,335
Hahahahah hawa Liva wanadandia mambo yasiyowahusu, na mimi nasema wapigwe tu, maana hakuna namna nyingine, Jumamosi nasikia mc wa sherehe ya magoli atakuwa Diego Costa kuhitimisha sherehe, kutakuwa na bufee ya nguvu, ufunguzi wa sherehe hii leo utafunguliwa na kina Christian...Hahahahaaaaaa mkuu utapigwa humu ukisema hivyo....!
Yah, ile sherehe mkuu inaanza Leo pale Spain Alafu itaitimishwa Kwao majogoo J'mosi.....!
Leo Ronaldo anatupia tatu peke yake, Benzema 2 peke Yake, Balle 3 peke Yake na Yule Jamaa Pepe atatoka nyuma mpk kwenda kufunga Leo...!
Dah! mkuu, hii sherehe sio ya kukosa...
ngojea nimualike na charminglady pamoja na Eiyer...
Last edited by a moderator: