Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Jana nimesikia mnasema tofauti ya Eric 7+3Hag, na Arterta ni kipara tuHongereni kwa kunipigia wale mijusi milia. Endeleeni kupambania ubingwa maana inaonekana sisi tunahitaji kukaa na kujitadakari kidogo halafu tuanze tena kutembeza vichapo
Dah.!! Heheh Akina Nunez na nani?? Jota yupo hapo atarahisisha kazi
ππππ daaah. Misemo yote ya kale na mipya tutajifunza
MkuuπππππWamekua kama jongoo β¦. Miguu mingiii mwendo uleule
π€£ π€£ π€£ π€£ Miss Liverpool haha nakuonaaaaa.Hizi ni zile comments anazipendaga Captain Marvelous π
Happy new year bro
Hapo sawaaaaaa mkuu.
Imagine pivot ya Macca na Thiago wote hawana "mbio"....
Thiago namkumbali mkuu ishu yangu kwake ni aina ya uchezaji wake kwa sasa naona kama tushaupita aiseeni maoni yangu hayo sina hakika kama anaweza ku adapt kwani tangu yupo Barcelona, Munich staili yake ni ile ile.
YNWA
Tutawasaidia kuwapunguzia mzigo wa FA kwa kuwaondoa kwenye mashindano hayo.
Nunez is just Nunez hatofunga yes lakin anakupa full mishe pale mbele harudi nyuma anajua kwenda mbele tu hakati tamaa wala nini...
He is made of steel maana kwa zile kosa kosa za jana mchezaji mwingine anakua broken lakin sio Nunez yeye yumo tu....
His working ethics is next level...
Nunez = Never Say Die Attitude.
YNWA
Kina Origi na Shaqiri walistep up vizuri tu mpaka tukasahau kama tulikuwa na Salah.
Iwapo Jota, Diaz na Gapko hawata pata majereha basi tutasahau kama tulikuwa na Salah.
He's playing under pressure kuprove his worthy jambo ambalo linamnyima utulivu.
Tactically yupo vizuri but psychological ndiyo shida ilipo.
Nadhani Klopp ampe Off ya wiki moja akaonane Mtaalamu wa Saikolojia amrudishie utulivu.
Jana nilitumia kwa umakini mkubwa kumuangalia kuliko siku zote zile nimebaini hilo tatizo lake! Kiukweli jamaa hana bahati tu lakini uwezo anao.
Nunez anahitaji Mwalimu kama Arsen Wenger mtaalamu wa Saikolojia nje ya uwanja.
- Ukiangalia game Live ya Liverpool basi utaona wazi kiwa tuna tatizo kwenye deference yetu.
- But ukiangalia takwimu kwa kulinganisha na Timu nyengine za EPL basi takwimu zitakwambia tuna defence bora EPL.
- But ukiangalia Takwimu bila ya kulinganisha na Timu nyingine ya EPL basi takwimu zitakuonesha kiwa defence yetu haipo sawa.
Hivyo tusiangalie Takwimu kwa kulinganisha na Timu nyingine za EPL kwasababu Defence zao ni mbovu zaidi kuliko ya kwetu, hivyo tuangalie takwimu in term of performancewise basi utapata majibu kuwa defence yetu haipo sawa.
Mimi siyo bro,ni Bibi yenu[emoji16]
Salah licha ya uwezo wake mkubwa ila kwenye penati mimi binafsi huwa siyo chaguo langu.
Penati zilikuwa zake Fabinho na Babu Milner nyani mzee.
Sasahivi tuwajaribu na akina Nunez kwenye penati,kwani sh ngapi [emoji16]
Unajua nini...Jana nimesikia mnasema tofauti ya Eric 7+3Hag, na Arterta ni kipara tu
Hamjathema bado
Na wenzie waliobakia akina Diaz
Hawa sijui huko vijijini kwao wamewaroga
ππ½ππ½ππ½Curse the injuries man.Ndio uchezaji wake hawezi kubadilika tena. Lkn atatufaa kwenye rotation ya mechi za FA/Carabao/UEL n.k
Macca Jones and Gravern will drive our MF,
No Szobo (to be updated his return date)
No Endo (until february international duty)
Elliot atatumika sana kwenye RW kuliko MF.
Ndio maana bado naamini tunamuhitaji Thiago, Imagine Jones or Macca mmoja aumie (finger crossed). And It would be Bajcetic time aisee. Injury muda mwingine ni adui wa talents.
Never in doubt about Nunez tena kwa Klopp na Marcelo watakomaa nae tu mpaka atakaa sawa...Good time will come
Kiukweli wa moyoni, naona hatuko katika headspace ya kuwapiga. Kishabiki nasema tutawatwanga ila sitashangaa mkitupiga.50/50
Hivi kuna mashabiki wa man u .Au chelsea wanaleta stunts humu kweli?