Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hapo sawaaaaaa mkuu.
Imagine pivot ya Macca na Thiago wote hawana "mbio"....
Thiago namkumbali mkuu ishu yangu kwake ni aina ya uchezaji wake kwa sasa naona kama tushaupita aiseeni maoni yangu hayo sina hakika kama anaweza ku adapt kwani tangu yupo Barcelona, Munich staili yake ni ile ile.

YNWA

Ndio uchezaji wake hawezi kubadilika tena. Lkn atatufaa kwenye rotation ya mechi za FA/Carabao/UEL n.k

Macca Jones and Gravern will drive our MF,
No Szobo (to be updated his return date)
No Endo (until february international duty)

Elliot atatumika sana kwenye RW kuliko MF.
Ndio maana bado naamini tunamuhitaji Thiago, Imagine Jones or Macca mmoja aumie (finger crossed). And It would be Bajcetic time aisee. Injury muda mwingine ni adui wa talents.
 
Nunez is just Nunez hatofunga yes lakin anakupa full mishe pale mbele harudi nyuma anajua kwenda mbele tu hakati tamaa wala nini...
He is made of steel maana kwa zile kosa kosa za jana mchezaji mwingine anakua broken lakin sio Nunez yeye yumo tu....
His working ethics is next level...

Nunez = Never Say Die Attitude.

YNWA

Good time will come
 
He's playing under pressure kuprove his worthy jambo ambalo linamnyima utulivu.

Tactically yupo vizuri but psychological ndiyo shida ilipo.

Nadhani Klopp ampe Off ya wiki moja akaonane Mtaalamu wa Saikolojia amrudishie utulivu.

Jana nilitumia kwa umakini mkubwa kumuangalia kuliko siku zote zile nimebaini hilo tatizo lake! Kiukweli jamaa hana bahati tu lakini uwezo anao.

Nunez anahitaji Mwalimu kama Arsen Wenger mtaalamu wa Saikolojia nje ya uwanja.

Thats why Kops chant his name even if he has started from the bench.

Last season alitoka mchezoni ile red card, ubora wa Halaand na bei aliyonunuliwa.

Bado anatakiwa apate psychologist amtibu fikra hizo, arejee kucheze yeye kama yeye, and he will come good
 
  • Ukiangalia game Live ya Liverpool basi utaona wazi kiwa tuna tatizo kwenye deference yetu.
  • But ukiangalia takwimu kwa kulinganisha na Timu nyengine za EPL basi takwimu zitakwambia tuna defence bora EPL.
  • But ukiangalia Takwimu bila ya kulinganisha na Timu nyingine ya EPL basi takwimu zitakuonesha kiwa defence yetu haipo sawa.

Hivyo tusiangalie Takwimu kwa kulinganisha na Timu nyingine za EPL kwasababu Defence zao ni mbovu zaidi kuliko ya kwetu, hivyo tuangalie takwimu in term of performancewise basi utapata majibu kuwa defence yetu haipo sawa.

Kabisa. Japo Endo Jones na Gomez since wame step up naona kidogo kuna unafuu tofauti ya 6. Ya Macca

Macca kabla ya kuumia he played good football last two matches before his injury.

Kwa maana hiyo tukipata sitter mzuri, tutakuwa salama. Macca is good as Deep Line Playmaker na sio kama Anchor.
 
Mimi siyo bro,ni Bibi yenu[emoji16]

Salah licha ya uwezo wake mkubwa ila kwenye penati mimi binafsi huwa siyo chaguo langu.
Penati zilikuwa zake Fabinho na Babu Milner nyani mzee.


Sasahivi tuwajaribu na akina Nunez kwenye penati,kwani sh ngapi [emoji16]

Hahah Samahani. Kumbe nimekutag post yako?! Sio kusudi langu

Heheh ety akina Nunez? Ili mucharange vizuri ehh?

Hapana apige Salah huyo huyo tu
 
Ndio uchezaji wake hawezi kubadilika tena. Lkn atatufaa kwenye rotation ya mechi za FA/Carabao/UEL n.k

Macca Jones and Gravern will drive our MF,
No Szobo (to be updated his return date)
No Endo (until february international duty)

Elliot atatumika sana kwenye RW kuliko MF.
Ndio maana bado naamini tunamuhitaji Thiago, Imagine Jones or Macca mmoja aumie (finger crossed). And It would be Bajcetic time aisee. Injury muda mwingine ni adui wa talents.
🙆🏽🙆🏽🙆🏽Curse the injuries man.
Kwa msimu huu tunahitaji every registered player aisee kuja kupambana na kuleta impact... Kama Thiago atakua integrated properly na ku rhyme with the new boys basi na aje tu who knows anaweza kua Pirlo wa mwishoni pale Juve alivyokipiga..

Tuna mechi nyingi sana hivyo kwa sasa akimbize Carabao na FA kwanza apate match fitness..
Japo hili hua halisemwi sana halina mashiko sana lakin Thiago ni moja ya wahamashishaji sana huko vyumbani ana impact kubwa sana pengine kuliko hata uwanjani hilo kwake ni plus... Thiago alisaidia sana transition kwa Diaz na Nunez especially kwenye lugha hivyo kwa kweli dogo ana msaada sana pale klabuni ukiachana na kazi yake uwajani..

YNWA
 
Back
Top Bottom