Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Owen Beck has been recalled.

Dont know whats the plan.

Or, kama tunataka kumtumia kwenye cup games, na kumpumzisha Gomez at LB, au plan ni kununua tu LCB this january, au kama kuna setback kwa Robertson, maana Tsimikas ni mpaka march.
 
Jongoo hawa…. Miguu laki moja, mwendo uleule wa miguu miwili
 
Owen Beck has been recalled.

Dont know whats the plan.

Or, kama tunataka kumtumia kwenye cup games, na kumpumzisha Gomez at LB, au plan ni kununua tu LCB this january, au kama kuna setback kwa Robertson, maana Tsimikas ni mpaka march.
Nadhani robertson ana set back na Pia gomez ni back ya right back…. So it’s risky now kumvuna sana gomez
 
Vice versa is true! Salah atabeba ndoo ya AFCON, atabeba ya EPL na atabeba ya EUROPA then anakuwa na sifa zote za kubeba Ballon D'or.

Hivyo lazima ashangaze Watu
Mkuu Ballon d'or bila world cup,champions league,euro ,copper America ,u Adidas ,u Nike ni UONGO , Africa wametuweka wa mwisho .Wako tayari kumpa yoyote atakayechukuwa euro au copper America mwaka huu akipata na champions league .
 
Naam, uchezaji wake ule unaweza ku influence young players kama Bajcetic quality passes.

Naamini wachezaji wengi watatusaidia jan-feb alot of games there labda tutolewe FA & Carabao.
 
Never in doubt about Nunez tena kwa Klopp na Marcelo watakomaa nae tu mpaka atakaa sawa...
Boy is a fighter..

Captain Chaos Unleashed [emoji91] [emoji91] [emoji91] ...

YNWA

Kila kitu anafanya kwa usahihi bado kutupia tap ins. Hii ishu ni apate psychologist who has engaged with sport atanufaika. Ni suala la kutuliza tu akili.

Kwa Klopp na Biesla wamfunde kwenye first touch.
 
Kiukweli wa moyoni, naona hatuko katika headspace ya kuwapiga. Kishabiki nasema tutawatwanga ila sitashangaa mkitupiga.

Bado ni 50/50 Arteta atahitaji kurudisha imani na uwezekano wa kuwa kwenye makombe yaliyosalia.

Kumtoa Liverpool stage hii ni big plus kwake.
Ila nje ya ushabiki najipa nafasi ya kuwatoa.
A match to watch,
 
Dah.! Anachofanya Nunez ni kupiga tu mpira golini.!!!
 
Kila kitu anafanya kwa usahihi bado kutupia tap ins. Hii ishu ni apate psychologist who has engaged with sport atanufaika. Ni suala la kutuliza tu akili.

Kwa Klopp na Biesla wamfunde kwenye first touch.
If Klopp made Lewadoski vile alivyo sasa akiwa unknown na kua mkali wa magoli then nina imani kubwa sana Nunez will surpass Lewa numbers ni suala la patience na dogo kujituma na kukumbali msaada atakaopewa iwe psychological ama wowote ule awe tayari kukumbali kwamba utamfaa na utamtoa alipo kumsogeza mbele kiasi...

YNWA
 
Naam, uchezaji wake ule unaweza ku influence young players kama Bajcetic quality passes.

Naamini wachezaji wengi watatusaidia jan-feb alot of games there labda tutolewe FA & Carabao.
Thiago is very influential dressing roomi guess after Milner kuodoka amechukua hilo jukumu kuwa mentor hawa vijana.... Hilo yupo 💯 perfect.
Ishu yangu kwake how does he stay fit.

YNWA
 
Few words about Darwin.
Nunez has left small blank space to fill in. Its not far
 
Owen Beck has been recalled.

Dont know whats the plan.

Or, kama tunataka kumtumia kwenye cup games, na kumpumzisha Gomez at LB, au plan ni kununua tu LCB this january, au kama kuna setback kwa Robertson, maana Tsimikas ni mpaka march.
Tsimikas mpaka March... Robbo maybe setback aisee hapa sio powa maana Gomez mmh i forbid apate changamoto...
Owen Beck mpaka kuaitwa timu ya Taifa means anakwenda vizuri kwa hio arejee tu kusaidia upande wa kushoto... Klopp is following his instinct baada ya mafanikio ya Quansah pale CBR sishangai kuona dogo Owen amerejeshwa...
Kwa dirisha hili sio Klopp akiingia sokoni kwa RB sala CB wala LB unless itokee new injury dirisha likiwa wazi au wale anaowatazama apate good deal kwa mfano Ko Itakura nk nk

YNWA
 
Kuna muda comments zingine unasoma unaona huyu ni shabiki wa Goals Oriented, unampisha tu.

Kama mtu anakuambia Nunez anapiga tu mpira golini ili mpira uende wala hachagui angle. Unajiuliza huyu mechi ya Burnley aliangalia kweli? Mechi vs B’mouth Carabao aliangalia kweli?
 
If we can somehow manage to keep Thiago fit for 10/12 games, we will win the league.

Tulikuwa na mjadala na Captain Marvelous kuhusu uwepo wa Thiago kikosi. Mie naamini we still need him kwa uzoefu wake na uwezo wake. We have many games bado atatusaidia kwenye rotation. Ila Captain haamini ikiwa kwa aina ya mpira tunaocheza kama atatufaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…