Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jongoo hawa…. Miguu laki moja, mwendo uleule wa miguu miwiliHii ni list ya Arsenal top scorers.
Ok, tufanye ni 20 games (Saka alifunga against Fulham), so ana goals 6.
Sasa, kwenye hii list ukiachana na Saka, nani ana goals kumzidi Nunez? striker namba moja wao Gabriel Jesus ana 3 goals.
View attachment 2860523
Nadhani robertson ana set back na Pia gomez ni back ya right back…. So it’s risky now kumvuna sana gomezOwen Beck has been recalled.
Dont know whats the plan.
Or, kama tunataka kumtumia kwenye cup games, na kumpumzisha Gomez at LB, au plan ni kununua tu LCB this january, au kama kuna setback kwa Robertson, maana Tsimikas ni mpaka march.
Mkuu Ballon d'or bila world cup,champions league,euro ,copper America ,u Adidas ,u Nike ni UONGO , Africa wametuweka wa mwisho .Wako tayari kumpa yoyote atakayechukuwa euro au copper America mwaka huu akipata na champions league .Vice versa is true! Salah atabeba ndoo ya AFCON, atabeba ya EPL na atabeba ya EUROPA then anakuwa na sifa zote za kubeba Ballon D'or.
Hivyo lazima ashangaze Watu
Vipi kuhusu tetesi za Mbappe?Stories ni kuwa Salah hayupo sure kama anataka kuondoka LFC in the summer.
[emoji1438][emoji1438][emoji1438]Curse the injuries man.
Kwa msimu huu tunahitaji every registered player aisee kuja kupambana na kuleta impact... Kama Thiago atakua integrated properly na ku rhyme with the new boys basi na aje tu who knows anaweza kua Pirlo wa mwishoni pale Juve alivyokipiga..
Tuna mechi nyingi sana hivyo kwa sasa akimbize Carabao na FA kwanza apate match fitness..
Japo hili hua halisemwi sana halina mashiko sana lakin Thiago ni moja ya wahamashishaji sana huko vyumbani ana impact kubwa sana pengine kuliko hata uwanjani hilo kwake ni plus... Thiago alisaidia sana transition kwa Diaz na Nunez especially kwenye lugha hivyo kwa kweli dogo ana msaada sana pale klabuni ukiachana na kazi yake uwajani..
YNWA
Never in doubt about Nunez tena kwa Klopp na Marcelo watakomaa nae tu mpaka atakaa sawa...
Boy is a fighter..
Captain Chaos Unleashed [emoji91] [emoji91] [emoji91] ...
YNWA
Kiukweli wa moyoni, naona hatuko katika headspace ya kuwapiga. Kishabiki nasema tutawatwanga ila sitashangaa mkitupiga.
Nilishangaa kuna kipindi huku zililetwa stats za kumlinganisha Suarez na Nunez
Ishu ya Nunez sio bahati wala jambo la kisaikolojia bali ana lack character ya lethal striker kitu ambacho hufundishwi na kocha
Anachokosa Nunez ni ile hali ya kujua apige vipi au achague angle ipi ambayo itampa shida kipa kuokoa, anachofanya Nunez ni kupiga tuu mpira golini, ama akitafuta angle anakosa target
Siku makipa wakiwa hawapo vizuri atafunga kama ile mechi ya kwanza na Newcstle, ila kipa akiamka vizuri ndio yale ya jana
Otherwise timu itengeneze nafasi ambazo Nunez atakua ana tap in tuu mpira uingie golini kama anavyotengenezewaga Halaand
If Klopp made Lewadoski vile alivyo sasa akiwa unknown na kua mkali wa magoli then nina imani kubwa sana Nunez will surpass Lewa numbers ni suala la patience na dogo kujituma na kukumbali msaada atakaopewa iwe psychological ama wowote ule awe tayari kukumbali kwamba utamfaa na utamtoa alipo kumsogeza mbele kiasi...Kila kitu anafanya kwa usahihi bado kutupia tap ins. Hii ishu ni apate psychologist who has engaged with sport atanufaika. Ni suala la kutuliza tu akili.
Kwa Klopp na Biesla wamfunde kwenye first touch.
Thiago is very influential dressing roomi guess after Milner kuodoka amechukua hilo jukumu kuwa mentor hawa vijana.... Hilo yupo 💯 perfect.Naam, uchezaji wake ule unaweza ku influence young players kama Bajcetic quality passes.
Naamini wachezaji wengi watatusaidia jan-feb alot of games there labda tutolewe FA & Carabao.
Hii clip, inaonesha movement ya goal la kwanza la Salah.
Na walioset hili goal, ndiyo ambao wanakuwa attacked kila siku kuhusu their form (understandable)
But, ni vitu vidogo sana kama hivi ambavyo vinakupa quality ya mchezaji, hata kama anapitia bad patch.
Trent, anatoa a long pass kwa Nunez, angalia sehem ambayo Nunez alipokea huu mpira, kimfumo/shape hili ni eneo ambalo alitakiwa awepo Salah, but Nunez was there, because anatakiwa kudrop deep, kupotea mipira ili ku-trigger counters, Nunez plays the ball to Dom (ambaye yupo kwenye bad form), sasa imagine kama huyu aliyepokea huu mpira angekuwa ni Henderson? angepata akili ya progress/drag the ball? (well Henderson hawezi kudribble/drag/progress the ball), Henderson hapo agerudisha mpira nyuma, au angehoof kwa Nunez au Salah, na kuua kabisa counter, but Dom drags the ball, moving/manipulating the pockets, anaacha mpira kwa Diaz, na kuendelea na false/bait runs, ambazo zinawachanganya Newcastle defenders, na kumpa a good roam Diaz ya kutembea na mpira ndani, na kuuachia kwa Nunez, ambaye yupo kwenye good channel, then easy goal kwa Salah.
Hii, move aliyetrigger ni Nunez, strikers wangapi wana hiyo awareness/anticipation kwenye deep areas? why Klopp amuamini Nunez (ambaye anaonekana si chochote JF) kuwa his counter attacking triggering point? na most of all, kwanini Salah aliamini kabisa kuwa Nunez atampata kwenye ile pocket? because that is not an easy pass (kama umewahi kucheza mpira). na pia why Trent hakufikiria hata mara mbili kuutupa ule mpira kwa Nunez tena Nunez akiwa man marked? our world class passer aliamini Nunez atafanya kitu mpira ukimfikia, and Trent had a lot of time ku-move ule mpira sehem nyingine safe, but he decided to risk it kwa kumuamini Nunez (ambaye hapa JF anaonekana hajui hata kupiga mpira).
Sasa, a young striker anayekuoffer hiki kitu, unamuonaje si chochote? Isak jana alifunga, but when Howe moved Antony Gordon at LW, Trent alipata tabu kidogo, but most of the times Isak alikuwa anamiss/fail kulead transitions zao/runs za Gordon, kitu ambacho hakipo kwa Nunez, hence akiwa uwanjani tunagenerate volume kubwa ya chances.
Diaz & Dom hawapo kwenye good form, lakini hii movement inatakiwa ikuoneshe ni jinsi gani WC talents zinavyofanya kazi.
hata kwenye hii team yetu now, Macca/Jones/Elliott/Endo/Gravenberch ndiyo wangekuwa wamepokea ile pass ya Nunez kwa Dom, wasingefanya alichofanya Dom, because hawana progressive drafts/volumes kwenye their locker, na ndiyo uzuri wa kuwa na different profiles kwenye MF.
Tsimikas mpaka March... Robbo maybe setback aisee hapa sio powa maana Gomez mmh i forbid apate changamoto...Owen Beck has been recalled.
Dont know whats the plan.
Or, kama tunataka kumtumia kwenye cup games, na kumpumzisha Gomez at LB, au plan ni kununua tu LCB this january, au kama kuna setback kwa Robertson, maana Tsimikas ni mpaka march.
Dom is 22
Alexis is 24
Curtis is 22
Eliott is 20
Gravenberch is 21
Bajcetic is 19
Our MF is still very young, bado ni students kwenye game, so kuna kipindi watakuwa na games mbaya, kuna kipindi watafanya bad decisions, na kuna kipindi watakuwa na strechs za bad form, etc, ni kawaida kwa umri wao.
Dom, Macca, Gravenberch, Endo, ni new players, ndiyo kwanza wana miezi si chini ya 6 at the club, just because wamekuja na kuanza kuperform well, haitupi mamlaka ya kuwacall out wakiwa na bad games, kwasababu bado wanaadjust kwenye mfumo/mazingira mapya, muhimu ni kumshukuru Mungu, kuwa wamekuja na kuanza vizuri right away, ni NEEMA sana.
Hawa wachezani ni wapya na bado ni wadogo (ukimtoa Endo), so bado wanakuwa, bado wanahitaji a lot of coaching, kama ilivyokuwa kwa Kina Fabinho & Gini.
Tujifunze kuwapa time wachezaji, Curtis Jones, tumetoka nae wapi? mbona tumempa muda wa kutosha sana? na sasa tunaona matunda? kuna mtu alitegemea Jones atakuja kutupa performance kama ile ya monday?
Elliott, mbona amekomaa sana msimu huu, anaperform at a very good level, last summer tulikuwa tunaongelea suala la kumloan out, but now shabiki gani atakubali Elliott kuwa loaned out?
Kuna furaha, ya kuwapa hawa vijana nafasi, wanapenda na wenyewe kufanikiwa na kushowcase vipaji vyao.
Tunapoanza kuwasema, tena hizi new signings ambazo hazina hata seven months at the club, tunaonekana vichaa, na kibaya sana, wanajitahidi sana, tunaongoza league, na wao ndiyo wanaocheza kila week.
Tunaongoza league, na hakuna shabiki hata mmoja wa LFC ambaye alikuwa anategemea hili, huu ulikuwa msimu wetu wa transition, target ilikuwa ni top 4, but tupo kwenye title race, kwasababu vijana wanapambana, kwenye hiki kikosi cha LFC hakuna hata lazy player mmoja, hakuna egos, hakuna walalamishi, unaona Gomez msimu mpaka sasa amecheza at CB, RB, LB na anapafom kwa ubora ule ule, Dom hapa kati alibadilishiwa role (understable) lakini alikuwa anapambana, hakuna malalamiko, Gakpo kacheza at 8/9/LW/10 na anapambana na huoni malalamiko, Gravernberch ana find his feet, but unamuona akicheza anatry so hard kuimpress, Endo amestep up sana kipindi ambacho Alexis hakuwepo, huyu Alexis hakusajiliwa kucheza at DM, eventhough unaona kabisa kucheza at DM kunaeffect game yake, lakini anajitoa sana na huoni malalamiko, tupo hapa tulipo kwasababu players wanajitoa sana, sana.
Tuheshimu wanachokifanya, na pia Klopp anajitahidi sana.
Contract offer on the table for Thiago.
Contract offer on the table for Thiago.
Stories ni kuwa Salah hayupo sure kama anataka kuondoka LFC in the summer.
If we can somehow manage to keep Thiago fit for 10/12 games, we will win the league.