Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Owen Beck has been recalled.

Dont know whats the plan.

Or, kama tunataka kumtumia kwenye cup games, na kumpumzisha Gomez at LB, au plan ni kununua tu LCB this january, au kama kuna setback kwa Robertson, maana Tsimikas ni mpaka march.

Cup games hopefully tumebaki na Gomez as Senior anayeweza kukupiga LB kwa usahihi. Finger crossed asiumie mpka mwisho wa msimu. He is in a good form
 
Mkuu Ballon d'or bila world cup,champions league,euro ,copper America ,u Adidas ,u Nike ni UONGO , Africa wametuweka wa mwisho .Wako tayari kumpa yoyote atakayechukuwa euro au copper America mwaka huu akipata na champions league .

Fact.
 
Mkuu Ballon d'or bila world cup,champions league,euro ,copper America ,u Adidas ,u Nike ni UONGO , Africa wametuweka wa mwisho .Wako tayari kumpa yoyote atakayechukuwa euro au copper America mwaka huu akipata na champions league .

Fact.
 

Darwin Nunez
El Pantra Captain Chaos.

I cant wait those days of netting like nobody
 

Sina Imani kama tutasajili any defender this window. Hata DM tu bado akili yangu inanikataa[emoji17]. Klopp kwa uvumilivu yupo vizuri sana. Ataunga una na waliopo akimsubiri Endo arejee, Sio ajabu tukatoka kapa.
Japo data zinaonesha tupo vizuri kwenye winter transfer, wengi hutunufaisha na wanakuwa tegemeo. Lets see this one what will it bring
 
Surez huyu huyu ama mwingine tazama ilimchukua misimu mingapi kua Surez unaemjua... Epl sio powa ujue...

Tazama Nunez hapa...


Subiri nae akae klabuni kama Surez aafu toa judgement.

YNWA
 
Mpira ni magoli, magoli ndio yanaleta 3pts, mechi na Newcastle, sub zile zilikuja kufanya kitu ambacho Nunez alitakiwa kufanya dk 20 tuu za mwanzo game ilivokua,
 
Suarez alicheza na watu gani? Kocha gani? Hakuikuta timu kama ilivyo kwa Nunez, chance ngapi za wazi Suarez alikua anakosa?
Niliweka hizi stat kukuonyesha Surez hakuanza Liverpool kwa kasi aliyomaliza nayo Liverpool hivyo Nunez ndio msimu wake wa pili akicheza mfumo mpya chini ya Klopp..
Nunez akikaa misimu aliyokaa Surez na ukaona namba zake zipo hivi hivi then judge the boy...

Surez alicheza na prime Gerrard, C10, Sterling na prime DS.

YNWA
 
Kumgeuka Arteta ni kazi rahisi sana kuliko mtihani wa kiswahili. Baahati yake nzuri ni kuwa kumpenda na kumsapoti ni rahisi zaidi. Ataweka mambo sawa tu ila kwa sasa jukwaa letu linapoa hivyo tunamshambulia tu ili jukwaa liwe active.
Yaani Aseno mambo yenu bwana 😂
 
Ukweli ni kwamba NUNEZ sio mfungaji halisi .. kinachombeba ni uwezo wake wa kuunganisha timu hapo mbele na kusaidia mashambulizi
 
Nunez will come good n lethal hilo sina shaka nalo. Ni unfinished potential so Klopp na jopo lake la walimu na Marcelo mwalimu timu yake ya Taifa wanajua wapi pamebakia boy a click na ni suala la muda tu na ukizingatia hata umri wake utaona kwa Klopp akisema... "its all good with Nunez..."

YNWA
 
Owen Beck has been recalled.

Dont know whats the plan.

Or, kama tunataka kumtumia kwenye cup games, na kumpumzisha Gomez at LB, au plan ni kununua tu LCB this january, au kama kuna setback kwa Robertson, maana Tsimikas ni mpaka march.
Binafsi sioni umuhimu wa kununua LCB kwasasa , labda tupate wa mkopo.
Hii nafasi tayari ina wachezaji wawili wote wazuri. Gomez aachwe maybe tungekuwa tunacheza UEFA ila kwa EUROPE sioni umuhimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…