Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Moja ya surprise kubwa na ya kushtua ni usajili wa Mbappe kutu AXA, aisee what a deal,
Japo ni ngumu sana kumchukua Mbappe ishu ya mshahara wa jamaa ndio balaa as you mentioned.

Think he will still end up at Madrid.

But kama Madrid wakizingua race itakuwa open.

Uwezo wa kumsajili Mbappe tunao, but issue ni FSG, kama wataona financial package yake ni reasonable.
 
Hivi Fabinho nani alimroga akaue kipaji chake ligi za matopeni?


Ila hata ningekuwa mimi ningeenda kuvuna hela za dezo
i
 
Salah hawezi kwenda kuuua kipaji chake ligi zisizo na mvuto


Kama vipi Bobby si arudi tu
Kwani hamuwezi kumchukua tena?

Salah kwenda Saudi, inategemea na Agent wake, kama Saudi wakioffer crazy money to him, anaweza kufanya kila kitu ili Salah amove kwenda Saudi.

Sasa, itategemea na Salah mwenyewe, maana mpaka sasa hakuna feelings kuwa anataka kuondoka.

Kuna mawili;

1. Ishu ile Salah, ilikuwa ni kujaribu kuiamsha Club katika kufanya uwekezaji zaidi, na ndiyo maana his camp leaked kwenye media kuwa he was interested na move ya Saudi, We SIGNED 4 MFs baada ya ile saga, plan ilikuwa ni 2 MFs, na unakumbuka FSG walibid £111m kwa Caicedo, hiyo yote ni kuonesha kwa Salah, kuwa ambition bado ipo, then paid Dom RC straight away, signed a world class winner, Gravenberch and Endo.

So in theory Salah's plan worked kwa kiasi chake, na nasema hivi kwasababu team inafanya vizuri now, na unaona kabisa Salah is enjoying himself at the club, kwa numbers anazorecord at the club, bado anahitajika sana europe.

2. Saudi, offered his agent a big payday, they offered salah wage ya 1m (pounds) p/w, that was so hard to turn down, but maybe Salah was ok about the move, akijua fika kuwa Club itagoma kumuuza.

Sad & funny part, ni kuwa hiyo teknik aliyotumia Salah kwenye part ya kwanza hapo, ndiyo aliyotumia Torres wakati ule, kwa kujaribu ku-entertain Chelsea interest ili kuwashtua FSG, but jamaa wakamuuza bwana, pesa ilikuwa nyingi sana kwao ile, but now, baada ya rumours tu kutoka za Salah na Saudi, Klopp akawahi kuja public na kudeclare kuwa jamaa HAUZWI, so hii ikawafanya FSG kutulia, ndiyo raha ya kuwa na WC manager.

Maana, Klopo aliona, Firimino kasepa, Fabinho kasepa, his favorite boy Keita kasepa, tena Salah? akakimbilia kwenye media chap, kuwa huyu bwana HAUZWI.
 
Ishu yangu ya Gomez, Thiago, Matip ni kua na majereha ya mara kwa mara huku wakiwa ni wa kikosi A na kama uwajuavyo jamaa zetu FSG hawatatoa mpunga hata kwa ma kinda exceptional kuja kuridhi hawa ma bwana ukifika muda wa phase out...
Klopp akisema nataka MF au CBR ataambiwa mzee tazama payroll yako wapo hawa 1 2 3 unaweza kuwatumia.. Hofu yangu inaweza kufika kusajili Klopp akawekwa mtu kati kwamba achugue kuuza ama kubikisha hawa injury prone na Klopp being Klopp atachahua jamaa wabakie na we all know output yao kwenye mbio za ubingwa hua zigzag muda mwingi...
Matip na Thiago has served thier mission or purpose tumepata makombe kadhaa kwa mchango wao na wamelipwa stahiki zao itakua jambo njema kama Klopp akiridhia wakasake ugali kwingine kama watakua kikwazo kwa FSG kuingia sokoni endapo watabakia klabuni maana tusisahau tuna wamiliki wa kmtego mtego sana.
Kama FSG wataedelea kuwekeza kikosi bila kujali nyongeza ya hawa ma veteran ni sawa kabisa watulie na pia watumike kwa hesabu kali sana lakin kama watakua kikwazo kw Klopp kupewa sapoti sokoni basi watasepa tu hakuna namna...

YNWA
 
FSG ya sasa ni bora tofauti na ile ya kipindi cha akina Benitez

Nikimaanisha safu ya uongozi wao
 
Gomez tubaki nae mkuu
 
Surez huyu huyu ama mwingine tazama ilimchukua misimu mingapi kua Surez unaemjua... Epl sio powa ujue...
View attachment 2860698
Tazama Nunez hapa...
View attachment 2860705

Subiri nae akae klabuni kama Surez aafu toa judgement.

YNWA

Choza ananichekesha sana.

Ananikumbusha sana, enzi zangu zile, mimi na bwana JORDAN BRIAN HENDERSON.

nilikuwa naangalia games za LFC na diary/note book pembeni, na note/write down kila mistake ya Henderson, kila mistake yaani.

Afu nakuja kuzimwaga humu/reddit/LFC official website chatting/comments section (kipindi kile), na platforms zingine kibao. Man, i was so HATED.

Tofauti ya Nunez na Henderson, Henderson was a complete mess and arse.

So namuelewa Choza, kwenye hii stage, huwezi kumwambia chochote kuhusu Nunez akakuelewa. nilikuwepo huko, ila nimeamua kutoka now, kwasababu nilikuwaga siienjoy hata mpira Aisee,

But, as Liverpool fan, my agenda against Henderson, ni moja kati ya mafanikio yangu makubwa sana kwenye dunia ya mpira, hahaha im so proud of it.
 
Jordan wa 2013/14 ulimtazama vizuri
 

Personally, i wont be against Thiago extension AU kama club ikiamua imuachie. yote ni sawa kwangu.

Kwa Matip, itakuwa ngumu sana kupata team kama, ataendelea kuheal as a free agent (bila team), ACL injuries are not a joke.

Klopp alihint kuwa FSG needs to honor his services, remains to be seen, kama FSG watasunction an extension.

Sidhani kama uwepo wa Matip & Thiago, utazuia club kununua LCB na DM in the near future.
 
🤣 🤣 Kwa Henderson you didn't need a diary bro the boy was full of mediocre output haha well a few super patches here n there but he gave was trash performance most of the times and yet kumtetea we were told he such a leader of men n boys on n off the pitch Khaa who cares if the numbers ain't coming... Pole sana kwa uliyopitia kwa Henderson but ata last you had the last laugh 😂 when Klopp told him at point blank hutopata dakika kama zamani kwa kua naanza sasa Liverpool 2:0 reloaded and Henderson you ain't part of this haha n boy he went hureeee... Hendo bhana hata ugonjwa wa corona he made sure anakua centre stage ili kupata credit tu huku uwanjani ni same bum..
Tofauti ya Nunez hatuhitaji kuleta anayofanya kwao nyumbani nk mbali ni yale anayotupa hapa uwanjani yanatuonyesha tutegemee tuedako aisee future is bright for this kindo CS.. A few touches with his body positioning when taking shot boooom rest will be history... A few inputs with his movements when vs one with goalkeeper n booom nk nk Klopp is aready working on this am positive this season huyu dogo atatuletea above 17 EPL goals na assist za kutosha ambazo ni crucial for winning trophies...

YNWA
 
Sure as long as hawa jama sio kikwazo cha dakika na usajili kwa Klopp then nina amani we need mentors around ili upcoming n new coming boys wawe in good hands... Moja ya yamemwayo pale Gunners ni kukosa mentors na influential speakers kule vyumbani sasa kwa Liverpool we have been blessed kua na hao jamaa Gini, Milner, Hendo, Matip, Thiago na huyu Thiago anaongea lugha nyingi tu... Manchester city wana Benado Silva, Rodri nk nk hivyo na sisi tunawahitaji sana na mentor kwanj mbio za ubingwa zina mbinu nyingi sana na maneno sahihi wakati sahihi.

YNWA
 
Mkuu Ballon d'or bila world cup,champions league,euro ,copper America ,u Adidas ,u Nike ni UONGO , Africa wametuweka wa mwisho .Wako tayari kumpa yoyote atakayechukuwa euro au copper America mwaka huu akipata na champions league .

Euro au CL sio kigezo cha kubeba Ballon D'or ndiyomana Michael Owen hana vyote hivyo lakini alibeba Ballon D'or.
 
I was so dissapointed na Firmino.

Klopp begged him to stay, but aliona pesa ndiyo kila kitu, ningeelewa kama ingekuwa ni Italy au even USA.

But moving to Saudi at 31, ilikuwa ni ujinga sana kwa Firmino.
Zimemtokea puani sasa... Ngoja tuone kama atatulia huko huko ama atasepa.

YNWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…