Salah kwenda Saudi, inategemea na Agent wake, kama Saudi wakioffer crazy money to him, anaweza kufanya kila kitu ili Salah amove kwenda Saudi.
Sasa, itategemea na Salah mwenyewe, maana mpaka sasa hakuna feelings kuwa anataka kuondoka.
Kuna mawili;
1. Ishu ile Salah, ilikuwa ni kujaribu kuiamsha Club katika kufanya uwekezaji zaidi, na ndiyo maana his camp leaked kwenye media kuwa he was interested na move ya Saudi, We SIGNED 4 MFs baada ya ile saga, plan ilikuwa ni 2 MFs, na unakumbuka FSG walibid £111m kwa Caicedo, hiyo yote ni kuonesha kwa Salah, kuwa ambition bado ipo, then paid Dom RC straight away, signed a world class winner, Gravenberch and Endo.
So in theory Salah's plan worked kwa kiasi chake, na nasema hivi kwasababu team inafanya vizuri now, na unaona kabisa Salah is enjoying himself at the club, kwa numbers anazorecord at the club, bado anahitajika sana europe.
2. Saudi, offered his agent a big payday, they offered salah wage ya 1m (pounds) p/w, that was so hard to turn down, but maybe Salah was ok about the move, akijua fika kuwa Club itagoma kumuuza.
Sad & funny part, ni kuwa hiyo teknik aliyotumia Salah kwenye part ya kwanza hapo, ndiyo aliyotumia Torres wakati ule, kwa kujaribu ku-entertain Chelsea interest ili kuwashtua FSG, but jamaa wakamuuza bwana, pesa ilikuwa nyingi sana kwao ile, but now, baada ya rumours tu kutoka za Salah na Saudi, Klopp akawahi kuja public na kudeclare kuwa jamaa HAUZWI, so hii ikawafanya FSG kutulia, ndiyo raha ya kuwa na WC manager.
Maana, Klopo aliona, Firimino kasepa, Fabinho kasepa, his favorite boy Keita kasepa, tena Salah? akakimbilia kwenye media chap, kuwa huyu bwana HAUZWI.