Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Sisi hatuna bayaHe'll score and you'll be happy
Wewe ni wetu tu ,upo upande wetu hata kama mpira hatujui
Akina Captain wasije tu kukuchanganya wakushawishi na vingereza vingi na magazeti
Mtu yupo yeye na goli
Anakosa!
Utarudi tu.
Mbappe anatutoshaView attachment 2861247
Kuna tetesi zozote za huyu dogo kutua LFC. Michael Olise. MosDef Captain Marvelous @TheMona
Mbappe anatutosha
Kwa sauti ya Bachelor ll π
Wanasiasa hao akina Bobby hadi wanakuchotaπSaint Anne umekuwa Mwanasiasa π
Sisi hatuna baya
Tunasubiri ascore
Na ili tufurahi, asikose yale magoli anayobaki yeye na goli.
Hela anazotaka sisi hatunaLiverpool haitomsajili Mbappe labda ajilete mwenyewe
Salah atastaafia hapahapaSalah kwenda Saudi, inategemea na Agent wake, kama Saudi wakioffer crazy money to him, anaweza kufanya kila kitu ili Salah amove kwenda Saudi.
Sasa, itategemea na Salah mwenyewe, maana mpaka sasa hakuna feelings kuwa anataka kuondoka.
Kuna mawili;
1. Ishu ile Salah, ilikuwa ni kujaribu kuiamsha Club katika kufanya uwekezaji zaidi, na ndiyo maana his camp leaked kwenye media kuwa he was interested na move ya Saudi, We SIGNED 4 MFs baada ya ile saga, plan ilikuwa ni 2 MFs, na unakumbuka FSG walibid Β£111m kwa Caicedo, hiyo yote ni kuonesha kwa Salah, kuwa ambition bado ipo, then paid Dom RC straight away, signed a world class winner, Gravenberch and Endo.
So in theory Salah's plan worked kwa kiasi chake, na nasema hivi kwasababu team inafanya vizuri now, na unaona kabisa Salah is enjoying himself at the club, kwa numbers anazorecord at the club, bado anahitajika sana europe.
2. Saudi, offered his agent a big payday, they offered salah wage ya 1m (pounds) p/w, that was so hard to turn down, but maybe Salah was ok about the move, akijua fika kuwa Club itagoma kumuuza.
Sad & funny part, ni kuwa hiyo teknik aliyotumia Salah kwenye part ya kwanza hapo, ndiyo aliyotumia Torres wakati ule, kwa kujaribu ku-entertain Chelsea interest ili kuwashtua FSG, but jamaa wakamuuza bwana, pesa ilikuwa nyingi sana kwao ile, but now, baada ya rumours tu kutoka za Salah na Saudi, Klopp akawahi kuja public na kudeclare kuwa jamaa HAUZWI, so hii ikawafanya FSG kutulia, ndiyo raha ya kuwa na WC manager.
Maana, Klopo aliona, Firimino kasepa, Fabinho kasepa, his favorite boy Keita kasepa, tena Salah? akakimbilia kwenye media chap, kuwa huyu bwana HAUZWI.
Hivi kati yetu, ni nani anayeota?Keep dreaming....
YNWA
Mbona unanijibu kidikiteta hivyo ? Mimi nimewauliza wale ambao ni wajuzi wa mambo.Mbappe anatutosha
Kwa sauti ya Bachelor ll π
Mpokeeni new comer King NgwabaTunza risiti hizi, kwa ajili ya rejea
Sorry Mkuu.. wajuzi wako watakuja kukujibu.Mbona unanijibu kidikiteta hivyo ? Mimi nimewauliza wale ambao ni wajuzi wa mambo.
πππππ
huwezi kulazimisha kuwa na bahatiMpira ni mchezo wa bahati
Kama huna bahati ina maana wewe ni loser.
ahah dah eti utarudi tuWewe ni wetu tu ,upo upande wetu hata kama mpira hatujui
Akina Captain wasije tu kukuchanganya wakushawishi na vingereza vingi na magazeti
Mtu yupo yeye na goli
Anakosa!
Utarudi tu.
umenikumbusha mbali sanaβ€οΈ
Jones ni good player kwa his age but has a problem in consistency he can't play back to back with the same Performance.
We've to wait until atapofika kwenye his peak maybe 24 or 25 ya his age.
Sasa hivi sifa zote kwa Klopp
Ngoja tukose ubingwa hapa
Utasikia Klopp hashauriki
Mara Miaka 7 ya laana ya Klopp imeanza[emoji23]
Hela anazotaka sisi hatuna
Akitaka aje tu
Sema akija mbappe yaani
Hakuna tembo, kenge wala mama Cita atakatiza mbele yetu.