Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Saint Anne umekuwa Mwanasiasa 😂
Wanasiasa hao akina Bobby hadi wanakuchota😂

Utasikia sijui pivot sijui inverted mara sijui kagenerate chance sijui false nine yaani maneno meengi ili mradi watutoe tu kwenye reli.

Nikirudi kwenye picha, Naona Nunez yupo na goli
Mara mpira huooo umepaishwa hadi Tandahimba.
 
Sisi hatuna baya
Tunasubiri ascore

Na ili tufurahi, asikose yale magoli anayobaki yeye na goli.
20240103_144133.jpg
 
Salah kwenda Saudi, inategemea na Agent wake, kama Saudi wakioffer crazy money to him, anaweza kufanya kila kitu ili Salah amove kwenda Saudi.

Sasa, itategemea na Salah mwenyewe, maana mpaka sasa hakuna feelings kuwa anataka kuondoka.

Kuna mawili;

1. Ishu ile Salah, ilikuwa ni kujaribu kuiamsha Club katika kufanya uwekezaji zaidi, na ndiyo maana his camp leaked kwenye media kuwa he was interested na move ya Saudi, We SIGNED 4 MFs baada ya ile saga, plan ilikuwa ni 2 MFs, na unakumbuka FSG walibid £111m kwa Caicedo, hiyo yote ni kuonesha kwa Salah, kuwa ambition bado ipo, then paid Dom RC straight away, signed a world class winner, Gravenberch and Endo.

So in theory Salah's plan worked kwa kiasi chake, na nasema hivi kwasababu team inafanya vizuri now, na unaona kabisa Salah is enjoying himself at the club, kwa numbers anazorecord at the club, bado anahitajika sana europe.

2. Saudi, offered his agent a big payday, they offered salah wage ya 1m (pounds) p/w, that was so hard to turn down, but maybe Salah was ok about the move, akijua fika kuwa Club itagoma kumuuza.

Sad & funny part, ni kuwa hiyo teknik aliyotumia Salah kwenye part ya kwanza hapo, ndiyo aliyotumia Torres wakati ule, kwa kujaribu ku-entertain Chelsea interest ili kuwashtua FSG, but jamaa wakamuuza bwana, pesa ilikuwa nyingi sana kwao ile, but now, baada ya rumours tu kutoka za Salah na Saudi, Klopp akawahi kuja public na kudeclare kuwa jamaa HAUZWI, so hii ikawafanya FSG kutulia, ndiyo raha ya kuwa na WC manager.

Maana, Klopo aliona, Firimino kasepa, Fabinho kasepa, his favorite boy Keita kasepa, tena Salah? akakimbilia kwenye media chap, kuwa huyu bwana HAUZWI.
Salah atastaafia hapahapa
 
Mbona unanijibu kidikiteta hivyo ? Mimi nimewauliza wale ambao ni wajuzi wa mambo.
Sorry Mkuu.. wajuzi wako watakuja kukujibu.
Ni kweli nimejipendekeza kujibu na wala haukunitag..
Japo jibu langu halikuwa serious,, ni katika harakati za kumkumbuka Bachelor II alivyotutesa humu last season...


Sitajibu tena comment yako yoyote,hii itakuwa ya mwisho.. uwe na amani.
 
Jones ni good player kwa his age but has a problem in consistency he can't play back to back with the same Performance.
We've to wait until atapofika kwenye his peak maybe 24 or 25 ya his age.

Klopp baada ya mechi vs Westham Carabao alisema tatizo Jones anajisahau ila anaweza sana.

Nilicheka hapo kwenye kujisahau nikajua utoto na uingereza unamsumbua. Kizuri hafananishwi na yeyote wala Media hazina habari nae ni jambo zuri kwake.
 



Sasa hivi sifa zote kwa Klopp

Ngoja tukose ubingwa hapa

Utasikia Klopp hashauriki
Mara Miaka 7 ya laana ya Klopp imeanza[emoji23]

Hapana Mom, tumpe tu heshima anapostahili. We angali ETH na Arteta wanavyoteseka japo mpunga wa kusajili wanamwagiwa wa kutosha. Tofauti na Klopp na anajitahidi sana kwa bajeti finyu.

Klopp ana mapungufu yake na moja ni ike kukumbatia deadwoods, angewaondoa mapema (Milner, Keita, Ox Henderson) angeshabeba mapema makombe makubwa.

Embu ona one season New MF na tupo kileleni angefanya mixing huko nyuma tusingemnanga kihivyo.
Unaona msimu huu walau akigusa sub zikiingia zinaweka tu.
 
Back
Top Bottom