Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

View attachment 2861247
Kuna tetesi zozote za huyu dogo kutua LFC. Michael Olise. MosDef Captain Marvelous @TheMona

Im not sure enough ila ni rumours tu. Na sidhani kama hii January tutaspend big maana naona recall ya Fabio Carvalho (MF), Rhys Williams (CB mwokozi 2020/2021), Nat Phillips (CB mwokozi 2020/2021), Owen Beck (LB).

Rhys alikuwa Aberdeen kwa mkopo hajacheza huko, amerudishwa naona atapata mkopo mwingine.

N. Philips bado anazungushwa tu he is 27 ila anachezea mikopo tu, better to sell him.
Owen Beck amerudishwa kutumikia timu.

Ishu ya Olise ni Attacking MF na RW player anapocheza Salah. Deal hili silioni sana likitokea na kama kuna mpango basi Surprise.

Mahitaji ya sasa ya timu ni DM na LCB ambayo Klopp alitafuta platers summer akakosa wa aina anaotaka akaamua kwenda na waliopo na imelipa.

Sijui Klopp kama anaweza any newcormer kwa sasa maana:-

Thiago ameanza full training,

Macca amerejea na last match amecheza,
Bajcetic amerejea japo not full training,

Robbo middle of this month anarejea,

Jones and Gomez are on form,

Ngoja tuone
 

Relax…
 
Heshima mbona tunampa sana
 
Euro au CL sio kigezo cha kubeba Ballon D'or ndiyomana Michael Owen hana vyote hivyo lakini alibeba Ballon D'or.
Mkuu yule Owen ni mwingereza ,wako tayari kumpa Harry Kane na sio mchezaji wa anayewakilisha bara la afrika, Salah kwa ubora wake angechukua hii kitu mapema lakini ni u afrika wake ndio kikwazo ,kwanza hiyo tuzo kudondoka kwa mchezaji wa epl ni mara moja kwa miaka 15
 
Umebadili tena msimamo
Unasapoti Thiago kubaki?
😂 😂 Nilifanya back door check ya Thiago kumbe jamaa ni mentor na motivational speaker pale klabuni sisemi abakie kwenye payroll kwa kufanya hayo Hapana il fahamu kwamba hao watu wa hivyo vyumbani ni muhimu sana sana sana especially kwenye mbio za ubingwa pale unakuta Liverpool na Manchester City tunaachana pointi 1 aafu ni April ndio utaalewa umuhimu wao huko.. Alitoa speech moja kali sana Fernandidho 2022 pale Manchester City na jamaa wakatupiku ubingwa msimu wa 2021 2022 kwa pointi 1 tu wakachukua ubingwa kwa pointi 93 huku tukiwa na 92...
Tunao vijana wengi sana pale under 24 wanahitaji kuambiwa maneno sahihi joto likipanda kwa lugha ambayo wanaelewa hivyo mpaka pale mkataba wake utaisha ama atokee mteja ana kazi nzito sana pale Klabuni huyu bwana...

YNWA
 
Baba ushauri Milner,Baba hamasa Hendo wote walishaondoka.


Yupo VVD, ni kiongozi mzuri sana.. hata uwanjani huwa tunamuona
anavyowapanga wenzake,, japo huwa hatusikii wanachokiongea.

Yupo Allison, Baba ushauri.

Yupo Matip, atawashauri madogo.

Yupo Salah, huyu anawashauri hadi kwa vitendo.

Yupo Gomez.

Watu wazima ni wengi.
 
🤣 🤣 🤣 🤣 Miss Liverpool bhana aliekwambia Salah ni mhamashishaji vyumbani nani... Au Gomez...
Waliopo ni
Thiago
VVD
Allison
Trent
Robbo

Mwenzio mie ninachotaka kwa Thiago a fit kwenye mfumo na awe fit kama fit kama so far Gomez hilo akiweza wala sina ishu nae kabisaaa.... Kama Henderson alipata big 5 zangu pale alipokipiga powa meaning na wengine ni hivyo hivyo... Hatuhitaji wachezaji mizigo klabuni kwa sasa mbio za ubingwa tunataka kila mmoja ajivunie mchango wake kuvaa medali hio Mei 2024.

YNWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…