Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,339
- 30,439
Miss Liverpool unaitwa huku.Three goal involvements, three clean sheets and the joint-most chances created β
Trent has been nominated for Premier League Player of the Month πͺ
Supporters can vote for Alexander-Arnold here until 12pm GMT on Monday January 8.
CC: Saint Anne naona Captain Marvelous anakuprovoke kwa makusudi hapa manake naamini huu ujumbe ni wako
ππΌππΌππΌKama asemavyo Def huyu dogo ni usajili bora kabisa wa bure klabuni chini ya Klopp.
Apone tu maana lile jeraha hua sio powaaa aisee.
YNWA
dah wanawake raha sanaNilianza kumpenda Trent jamani hata kabla sijakuja kwenye uziππππ
Ilikuwa uzi wa likes na akina Numbisa kule,walimpost..nikasema huyu kaka gani mzuri hivi?
Wakasema tena ni mchezaji wa Liverpool ππππ
Mie huyo ndukii nikaja humu.. kiukweli mimi Toka miaka ya kina Gerrard,sikuwahi kufuatilia tena mpira,hata watu nilikuwa siwajui ..Bobby huyu ndio alianza kunifahamisha mchezaji mmoja baada ya mwingine.
Nilivyowakariri kidogo na mimi nikaanza kusumbua watu,wananiona deep huku magroup ya kitaaπ€£π€£π€£π€£π€£
Kumbe nakujaga tu kucopy na kupaste maadishi ya kina Def
Huyo matip nimemkutia hukuhukuπππππ
Kumbe Gomez ni Babu π³Kwa mchezaji ambaye alikutwa na Klopp Liverpool kabaki Gomez pekeyake tu.
haipingwiNgoja tuone.
Mchezaji bora wampe Salah
YNWA
πππdah wanawake raha sana
Hata tukifungwa maumivu ya mwanaume ni makubwa sana kuliko mwanamke
Maana wanawake wana vingi vya kupenda
Mwanaume ni ushindi tu ndio anafurahi.
halafu unashangaa dume zima eti hapendi mpiraπππ
Toka primary michezo
Utashangaa jamani msituumizie fulani
Basi mchezaji wetu akikanyagwa tunaweza hata kulia
Kuna zile kona iwe na maana
Mpiga kona Trent
Jamani football ni mchezo mzuri kutazamaπ
Hivi wanaume ambao hawaangalii mpira huwa wanaangalia nini?halafu unashangaa dume zima eti hapendi mpira
Safi sana miss liver
ndio hivyo mamuvi makali makaliHivi wanaume ambao hawaangalii mpira huwa wanaangalia nini?
Tamthilia?π
Ama ndio akina Baba parokoπ€£
Maombi na kwaya watuachie akina Mama.
Tamthilia za mabeki tatu.
Mwanaume ambaye haangalii mpira hapana kwa kweli.
Mwanaume inatakiwa ufuatilie mpira,kama ni movie basi zile za kupigana ubongo umwagike.
Nakumbuka enzi hizo tunakuandio hivyo mamuvi makali makali
na wanaume wa aina hiyo mara nyingi huwa hawana sauti ndani ya familia zao
Yaani kwa kifupi huyu Mnyaki haelewani na tattoos na ndo chanzo cha kumchukia Nunez, au pia jina la Nunez hajalipenda, ila pia inaonyesha anapenda sana machotara π π ππ€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ Miss Liverpool soon Miss Nunez π₯ π€£ π€£ π€£ π€£
YNWA
Leicester City siwaoniView attachment 2861823
Inawezekana msimu huu tukawa sawa na Manjesta πππ
Two stunning strikes [emoji2956]
The Premier League Goal of the Month has Reds nominees in both Alexis Mac Allister and Wataru Endo[emoji460]
Cast a vote for Endo or Mac Allister here.
View attachment 2861825
Ndio maana nimeapologize na kuweka mambo sawa..kwangu mimi nimeichukulia kama dharau.Heshima ni kitu cha bure.
Wadau ni wengi jukwaani wa kuwaquote.