Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Two stunning strikes 🤩

The Premier League Goal of the Month has Reds nominees in both Alexis Mac Allister and Wataru Endo⚽

Cast a vote for Endo or Mac Allister here.
IMG_20240104_181235_240.jpg
 

Attachments

  • IMG_20240104_181235_129.jpg
    IMG_20240104_181235_129.jpg
    140.9 KB · Views: 2
Nilianza kumpenda Trent jamani hata kabla sijakuja kwenye uzi😂😂😂😂
Ilikuwa uzi wa likes na akina Numbisa kule,walimpost..nikasema huyu kaka gani mzuri hivi?
Wakasema tena ni mchezaji wa Liverpool 😂😂😂😂
Mie huyo ndukii nikaja humu.. kiukweli mimi Toka miaka ya kina Gerrard,sikuwahi kufuatilia tena mpira,hata watu nilikuwa siwajui ..Bobby huyu ndio alianza kunifahamisha mchezaji mmoja baada ya mwingine.
Nilivyowakariri kidogo na mimi nikaanza kusumbua watu,wananiona deep huku magroup ya kitaa🤣🤣🤣🤣🤣
Kumbe nakujaga tu kucopy na kupaste maadishi ya kina Def


Huyo matip nimemkutia hukuhuku😂😂😂😂😂
dah wanawake raha sana

Hata tukifungwa maumivu ya mwanaume ni makubwa sana kuliko mwanamke

Maana wanawake wana vingi vya kupenda

Mwanaume ni ushindi tu ndio anafurahi.
 
dah wanawake raha sana

Hata tukifungwa maumivu ya mwanaume ni makubwa sana kuliko mwanamke

Maana wanawake wana vingi vya kupenda

Mwanaume ni ushindi tu ndio anafurahi.
😂😂😂
Toka primary michezo
Utashangaa jamani msituumizie fulani
Basi mchezaji wetu akikanyagwa tunaweza hata kulia


Kuna zile kona iwe na maana
Mpiga kona Trent
Jamani football ni mchezo mzuri kutazama🙌
 
😂😂😂
Toka primary michezo
Utashangaa jamani msituumizie fulani
Basi mchezaji wetu akikanyagwa tunaweza hata kulia


Kuna zile kona iwe na maana
Mpiga kona Trent
Jamani football ni mchezo mzuri kutazama🙌
halafu unashangaa dume zima eti hapendi mpira

Safi sana miss liver
 
halafu unashangaa dume zima eti hapendi mpira

Safi sana miss liver
Hivi wanaume ambao hawaangalii mpira huwa wanaangalia nini?
Tamthilia?😂

Ama ndio akina Baba paroko🤣
Maombi na kwaya watuachie akina Mama.

Tamthilia za mabeki tatu.

Mwanaume ambaye haangalii mpira hapana kwa kweli.

Mwanaume inatakiwa ufuatilie mpira,kama ni movie basi zile za kupigana ubongo umwagike.
 
Hivi wanaume ambao hawaangalii mpira huwa wanaangalia nini?
Tamthilia?😂

Ama ndio akina Baba paroko🤣
Maombi na kwaya watuachie akina Mama.

Tamthilia za mabeki tatu.

Mwanaume ambaye haangalii mpira hapana kwa kweli.

Mwanaume inatakiwa ufuatilie mpira,kama ni movie basi zile za kupigana ubongo umwagike.
ndio hivyo mamuvi makali makali

na wanaume wa aina hiyo mara nyingi huwa hawana sauti ndani ya familia zao
 
ndio hivyo mamuvi makali makali

na wanaume wa aina hiyo mara nyingi huwa hawana sauti ndani ya familia zao
Nakumbuka enzi hizo tunakua
Nilikuwa nang'ang'ania rimoti niangalie maigizo ITV

Wakija mabroo utasikia yaani tuache kuangalia liver inacheza ,tuangalie maingizo ya ITV 😂😂
Ikawa tunaenda kiroho ngumu mpira yaani ,,mara manyimbo ya hip-hop
With time yakawa yananikaa kichwani.
 
Nawaza what if Newcastle wangetufunga?

Salaha angeporomoshewa matusi yote. Watu wakaanza atafutwe PK mwingine Salah anatukosesha ushindi.
Wakaleta stats za wapiga penalty, ndipo likatokea jina la NUNEZ kumbe jamaa ana 12/12 hii ni NEVER MISS PENALTY.

Saint Anne nakusalimia ki uruguay.
 

Aisee kweli kazi ya ukocha ni ngumu.

Watu wakaanza Wataru sio standard level za Liverpool hamna kitu, haya huyo hapo na mtuzo wake mbele ya wababe

Salah
Vvd
Beckor
Taa

Wataru alisema “najua hawaniamini na mimi sio chaguo, kwa sababu ya umri maana bado wanataka asajiliwe DM mwingine, lakini nitajitolea kwa ajili ya klabu” Alimaanisha fans.

Aisee toka hapo ni mabalaa matupu amepiga pita heavy.
 
Two stunning strikes [emoji2956]

The Premier League Goal of the Month has Reds nominees in both Alexis Mac Allister and Wataru Endo[emoji460]

Cast a vote for Endo or Mac Allister here.
View attachment 2861825

Magoli yote ni mazuri sana halafu yote yalikwa ya kwanza kwa kila mmoja. Long range shots. La Endo linaweza kuchukua kwa kigezo cha katokea bench na lilikuwa la kusawazisha. Ila kwangu yote ni sawa na atakaye chukua sawa. Ila kura sipigi

Namempigia Klopp tayari as manager of the month.
Nikampe na TAA
 
Back
Top Bottom