Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

[emoji81]Akina Ke kwenye fuchiboli,.
 
View attachment 2861803
Anasema Nunez toshaaa mie nani wa kusema Hapanaaaaaaaa.
Alisema Liverpool bingwa na tukawa bingwa
Amesema Nunez anatosha
Viva Klopp
Viva Nunez..

YNWA
Ulitegemea mchezaji aliyemnunua kwa £85m aseme ni m bovu[emoji1][emoji1]

Hata Keita Klopp hakuwahi kukubali kuwa ni usajili uliofeli
 
Ulitegemea mchezaji aliyemnunua kwa £85m aseme ni m bovu[emoji1][emoji1]

Hata Keita Klopp hakuwahi kukubali kuwa ni usajili uliofeli
Klopp kama mimi ana imani sana hakati tamaa kirahisi.

Kama wewe unampenda Nunez basi wewe ni mtu wa imani sana

Lakini kama wewe ni wa kukata tamaa mapema huwezi kumuelewa Nunez

Kama wewe hapo choza choza ahahah
 
Ok, karibu kwa Nunez 🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…