The MoNA
JF-Expert Member
- Sep 19, 2014
- 4,168
- 10,184
Ugomvi wetu na yeye ni kosa za wazi
Akiweza mbona kiroho safi,hatuna baya tutamsifia sana.
Game ya Arsenal alivyokosa TAA haujamkaanga
Kweli mapenzi upofu.
Kama ulimkaanga sijaona.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ugomvi wetu na yeye ni kosa za wazi
Akiweza mbona kiroho safi,hatuna baya tutamsifia sana.
Navuta tu picha mara dogo huyoo akaja
Aiseee sipati picha [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 2861810
[emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] Kazi ni moja tu hizi nafasi na shoti golini zigeuka kua magoli.
YNWA
Nilianza kumpenda Trent jamani hata kabla sijakuja kwenye uzi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ilikuwa uzi wa likes na akina Numbisa kule,walimpost..nikasema huyu kaka gani mzuri hivi?
Wakasema tena ni mchezaji wa Liverpool [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mie huyo ndukii nikaja humu.. kiukweli mimi Toka miaka ya kina Gerrard,sikuwahi kufuatilia tena mpira,hata watu nilikuwa siwajui ..Bobby huyu ndio alianza kunifahamisha mchezaji mmoja baada ya mwingine.
Nilivyowakariri kidogo na mimi nikaanza kusumbua watu,wananiona deep huku magroup ya kitaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kumbe nakujaga tu kucopy na kupaste maadishi ya kina Def
Huyo matip nimemkutia hukuhuku[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wapo on top kabisa ManjestaLeicester City siwaoni
Ulitegemea mchezaji aliyemnunua kwa £85m aseme ni m bovu[emoji1][emoji1]View attachment 2861803
Anasema Nunez toshaaa mie nani wa kusema Hapanaaaaaaaa.
Alisema Liverpool bingwa na tukawa bingwa
Amesema Nunez anatosha
Viva Klopp
Viva Nunez..
YNWA
nakuambia huwa wananifurahisha sana[emoji81]Akina Ke kwenye fuchiboli,.
Klopp kama mimi ana imani sana hakati tamaa kirahisi.Ulitegemea mchezaji aliyemnunua kwa £85m aseme ni m bovu[emoji1][emoji1]
Hata Keita Klopp hakuwahi kukubali kuwa ni usajili uliofeli
🤣 🤣 🤣 Soon anamsaliti Trent ngoja utaona huyu ni wa tatoo kama kweli alikwenda kwa msuka nywele Trent kwa nini asitue kwa tall guy HB namba 9 🤣
YNWA
Nilianza kumpenda Trent jamani hata kabla sijakuja kwenye uzi😂😂😂😂
Ilikuwa uzi wa likes na akina Numbisa kule,walimpost..nikasema huyu kaka gani mzuri hivi?
Wakasema tena ni mchezaji wa Liverpool 😂😂😂😂
Mie huyo ndukii nikaja humu.. kiukweli mimi Toka miaka ya kina Gerrard,sikuwahi kufuatilia tena mpira,hata watu nilikuwa siwajui ..Bobby huyu ndio alianza kunifahamisha mchezaji mmoja baada ya mwingine.
Nilivyowakariri kidogo na mimi nikaanza kusumbua watu,wananiona deep huku magroup ya kitaa🤣🤣🤣🤣🤣
Kumbe nakujaga tu kucopy na kupaste maadishi ya kina Def
Huyo matip nimemkutia hukuhuku😂😂😂😂😂
Kumbe Gomez ni Babu 😳
Kweli huwa namuona mechi za nyuma nyuma LFC tv wakirusha
Kwahiyo umetuhama? 😳Ok, karibu kwa Nunez 🙏
Trent amekosa mara ngapi?Game ya Arsenal alivyokosa TAA haujamkaanga
Kweli mapenzi upofu.
Kama ulimkaanga sijaona.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Chai ya Miss Liverpool hii hapa.
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
YNWA
DuuuhMkuu hivi ni mimi tu ndio naona kuwa RICE na HENDO ni kama mtu mmoja??
Game ya Arsenal alivyokosa TAA haujamkaanga
Kweli mapenzi upofu.
Kama ulimkaanga sijaona.
Kama naona ntakavyowanyanyasa akina OllaChuga OcWataita maji mma, watapasuka watu hamsa hamsa
Ndio hapo sasa😂Ulitegemea mchezaji aliyemnunua kwa £85m aseme ni m bovu[emoji1][emoji1]
Hata Keita Klopp hakuwahi kukubali kuwa ni usajili uliofeli
Kwahiyo umetuhama? 😳
Nimebaki na Choza😂
Baadaye ntabaki mwenyewe jeshi la mtu mmoja
Aki na Ukwa pale wanapokutanaNdio hapo sasa😂