Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Nilianza kumpenda Trent jamani hata kabla sijakuja kwenye uzi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ilikuwa uzi wa likes na akina Numbisa kule,walimpost..nikasema huyu kaka gani mzuri hivi?
Wakasema tena ni mchezaji wa Liverpool [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mie huyo ndukii nikaja humu.. kiukweli mimi Toka miaka ya kina Gerrard,sikuwahi kufuatilia tena mpira,hata watu nilikuwa siwajui ..Bobby huyu ndio alianza kunifahamisha mchezaji mmoja baada ya mwingine.
Nilivyowakariri kidogo na mimi nikaanza kusumbua watu,wananiona deep huku magroup ya kitaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kumbe nakujaga tu kucopy na kupaste maadishi ya kina Def

Huyo matip nimemkutia hukuhuku[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji81]Akina Ke kwenye fuchiboli,.
 
View attachment 2861803
Anasema Nunez toshaaa mie nani wa kusema Hapanaaaaaaaa.
Alisema Liverpool bingwa na tukawa bingwa
Amesema Nunez anatosha
Viva Klopp
Viva Nunez..

YNWA
Ulitegemea mchezaji aliyemnunua kwa £85m aseme ni m bovu[emoji1][emoji1]

Hata Keita Klopp hakuwahi kukubali kuwa ni usajili uliofeli
 
Ulitegemea mchezaji aliyemnunua kwa £85m aseme ni m bovu[emoji1][emoji1]

Hata Keita Klopp hakuwahi kukubali kuwa ni usajili uliofeli
Klopp kama mimi ana imani sana hakati tamaa kirahisi.

Kama wewe unampenda Nunez basi wewe ni mtu wa imani sana

Lakini kama wewe ni wa kukata tamaa mapema huwezi kumuelewa Nunez

Kama wewe hapo choza choza ahahah
 
Nilianza kumpenda Trent jamani hata kabla sijakuja kwenye uzi😂😂😂😂
Ilikuwa uzi wa likes na akina Numbisa kule,walimpost..nikasema huyu kaka gani mzuri hivi?
Wakasema tena ni mchezaji wa Liverpool 😂😂😂😂
Mie huyo ndukii nikaja humu.. kiukweli mimi Toka miaka ya kina Gerrard,sikuwahi kufuatilia tena mpira,hata watu nilikuwa siwajui ..Bobby huyu ndio alianza kunifahamisha mchezaji mmoja baada ya mwingine.
Nilivyowakariri kidogo na mimi nikaanza kusumbua watu,wananiona deep huku magroup ya kitaa🤣🤣🤣🤣🤣
Kumbe nakujaga tu kucopy na kupaste maadishi ya kina Def

Huyo matip nimemkutia hukuhuku😂😂😂😂😂

Ok, karibu kwa Nunez 🙏
 
Back
Top Bottom