Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Klopp on saying goodbye to Salah/Endo: "I told them if I wish you good luck it would be a lie! No, I said good luck and come back healthy."
🀣🀣🀣
come back healthy ahah Klopp bhana hapo anamaanisha wasioneshe mambo mengi

Kazi iwe ni one touch na kuruka viatu si unajua tena soka la Afrika
 

Chai bila sukari kwa
choza choza
Grau
Saint Anne

Hii ni ile sturungi kabsaa
 

Nilitarajia hili kama kigi ya Saudi ingelegea legea kama ilivyo sasa. Ubora wa timu pia umechangia mpaka sasa. Top players wanapenda wawe juu always.

Namba binafsi na za klabu zimeongezeka. Ni muda wa kuziba nafasi muhimu mbili kwa sasa.

LCB na DM.

Klopp wampe wa mpaka atakapochoka tu. Tumekuwa nae nyakati nzuri na mbaya pia.
 
Kesi ya madawa ya kulevya, aisee walimuharibia ulaji mfaransa yule. Walisema ametest positive baada sana wakaomba radhi kwa matokeo batili. Ndio kilikuwa chanzo cha kuachwa.
kweli mkuu umenikumbusha vyema

Yule jamaa alikuwa vizuri kwangu mimi nilikuwa namuelewa

Ila Lovren hapana kwa kweli
 
Muhammed Hussein atajifanya kutaka kumkaba Salah ili amake headlines lakini asije kumuumiza tu.
mkuu sisi tuko na Ashraf Hakimi anaye ovarap ,hatuwezi kukutana na Salah tutadundwa mechi zote, japo ya Zambia tutakufa kiume.
 
Kutofunga magoli mengi sio sawasawa na kukosa magoli mengi!

Firmino hakufunga magoli mengi ila his style of play ilikuwa zaidi kucreate chances nyingi kwa wengine(Salah,Mane),kuwalink hawa wide players na kufanya front three yetu itishe dunia nzima.

Firmino ndiye alikuwa mchezaji muhimu zaidi kuifanya front three yetu iliyotupa ubingwa wa 19 wa premier league na ubingwa wa 6 wa ulaya,itishe.Na sio kwa kufunga magoli bali kuwafanya wengine wafunge hata pale ambapo amelipa goli mgongo.Pamoja na hiyo lakini ilikuwa ikitokea mpira ambao ni lazima yeye afunge alikuwa anakupa goli kwa zaidi ya 80%.Hakuwa mtu wa kukosa magoli hovyo hata kama hakuwa anafunga sana.....

Nunez anahiyo 'mikimbio' kama mnavyosema.Anafight sana kama mnavyosema.Yupo agressive sana kama mnavyosema.Anajua kucheza na Salah kama mnavyosema.Kwenye hizi attributes ukiondoa magoli bado huwezi kumuwrka daraja moja na Firmino.

Pamoja na hayo lakini Nunez anakosa magoli sana.Finishing yake sio ya striker wa klabu kubwa kama liverpool.Hasa liverpool ya Klopp.Anahitaji kuimprove eneo hili na kila mtu atamsifia...Kwasasa ataendelea kupokea ukosoaji mpaka atakapoacha kukosa magoli ya wazi....
 
Liverpool rejected bids for Owen Beck from both Celtic and Rangers after his eye-catching loan spell at Dundee. [@_pauljoyce]
 
Walisema tulibeba ubingwa kwasababu ya Korona, Msimu huu watasema isingekuwa Vita vya Ukraine na Gaza Liverpool asingechukua ubingwa.
Hamchukui ubingwa tuko hapa takataka ninyi πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜„πŸ˜†πŸ€£
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…