Captain Marvelous The MoNA hii ni habari njema sana kwa
Saint Anne [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1621] Mkataba mpya kwa Mo Salah [emoji1621]
[emoji826] Liverpool wapo mbioni kumuongezea mkataba mpya Mohamed Salah [emoji1093] ili kuendelea kusalia klabuni hapo, Umuhimu wa Mohamed Salah ndani ya kikosi cha Liverpool umekuwa mkubwa zaidi ya kupelekea Mwalimu Jurgen Klopp na wamiliki wa klabu FSG kukosa sababu za kumruhusu kuondoka kizembe
[emoji826] Mkataba wa Sasa wa Mohamed Salah una tarajia kutamatika mwaka 2026 hivyo Liverpool wanataka kumuongezea mwaka mmoja mpaka 2027, Jurgen Klopp na FSG wana amini kwamba masuala ya pesa hayawezi kuwa kikwazo kwa mkataba huo bali kitu kikubwa na muhimu nokiangalia maslahi ya klabu na mchezaji pia
[emoji826] Jurgen Klopp anatarajia kuongeza mkataba wake pia kwa miaka 2 zaidi mpaka kufikia mwaka 2029 mana mkataba wake wa sasa unaishia mwaka 2027, hii inaonekana kuwa moja ya chachu ya kumshawishi Mo kusalia Liverpool kwa kuwa wawili hawa wana mahisiano mazuri zaidi ndani ya klabu
[emoji826] Liverpool hao hao wanasema wata hakikisha wana tafuta mbadala wa Mo wakati huu ambao bado yupo ndani ya klabu yao na hata ikifikia muda wa yeye kuondoka basi klabu Haiwezi kuwa na wakati mgumu zaidi
[emoji826] Salah mwenyewe hana shaka na offer ya Liverpool mana anajiona bado ana mambo makubwa ya kufanya katika soka la Ulaya hivyo anazani hakuna ugumu upande Wake na klabu yake kwa yeye kusalia ilimradi tu pande mbili zikubaliane
( Anfield watch )