Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hii stori nimeisoma Facebook leo
Hivihivi ulivyosema.

Maskini Mane
Heri angebaki tu Liverpool.. mshahara kidogo lakini maisha ya amani.
Najua upo kwenye utani kuhusu Mane, ila tuongee uhalisia kwa nilichokisoma mahali jana.

Bayern walijikuta Mane ndiye top earner wao, haikuwa shida, ila ilikuwa ni kwa nini mwafrika awe top earner? Zengwe likaanza Tuchel akatumwa amwambie Mane atakuwa 3rd choice LW. Hakuitwa Mane wala wakala wake. Hivyo Bayern wanted to get rid of him.

Baadae wakasema atauzwa kwa 17M baada ya kumuona jamaa anautwanga wakasema atauzwa kwa 30M, kumbuka hawakuwa na sababu ya moja kwa moja ya kumvunjia mkataba.
 
Kwa 21st Century kwa mfumo wa 4-4-2 hichi kikosi ni sawa kabisa.
Ila kwa mfumo wa 4-3-3 basi hapo kati ya Suarez au Torres lazima mmoja atoke ili kwenye Mido aingie mmoja kati ya Mascerano au Fabinho.

But kwa kikosi changu cha muda wote basi ni 👇👇

John Barnes - I. Rush - Salah

Alonso - Gerrard - Dalglish

Robbo - VVD - Ph. Thompson - TAA

Bruce Grobbelaar

Kocha: Bob Paisley​
Bob Paisley may he Rest In Peace...

YNWA
 
IMG-20240110-WA0130.jpg
 
Ishu ya Onana sijaifuatilia na kweli hata sijajua kuwa hayuko national team.

Kwa upande mwingine, tumuache abaki huku EPL maana yeye ndiye anatusaidia sisi wapinzani kujichotea points kwa manyumbu [emoji2][emoji2]

Utd key player currently.
 
Jamani, mimi nimeleta tu habari njema ya Mane kuoa baada ya kukimbia stress za livakuku. Ukienda Livakuku nenda na mke wako kabisa maana ukishaanza kukimbizana na kina Nunez, muda wa kuoa utapata saa ngapi? Ndiyo tuliyoona kwa Mane
 
Back
Top Bottom