Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Hii stori nimeisoma Facebook leo
Hivihivi ulivyosema.
Maskini Mane
Heri angebaki tu Liverpool.. mshahara kidogo lakini maisha ya amani.
Hivihivi ulivyosema.
Maskini Mane
Heri angebaki tu Liverpool.. mshahara kidogo lakini maisha ya amani.
Najua upo kwenye utani kuhusu Mane, ila tuongee uhalisia kwa nilichokisoma mahali jana.
Bayern walijikuta Mane ndiye top earner wao, haikuwa shida, ila ilikuwa ni kwa nini mwafrika awe top earner? Zengwe likaanza Tuchel akatumwa amwambie Mane atakuwa 3rd choice LW. Hakuitwa Mane wala wakala wake. Hivyo Bayern wanted to get rid of him.
Baadae wakasema atauzwa kwa 17M baada ya kumuona jamaa anautwanga wakasema atauzwa kwa 30M, kumbuka hawakuwa na sababu ya moja kwa moja ya kumvunjia mkataba.