Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu humu kwa sababu YNWAKule tusiposhinda hatuna vibe kiviiile. Unaweza ukamsalimia mtu akakutukana ghafla.
Huku ni panya road tu wanaoongea kimombo na kutupumbaza tusiwashtukie kama ni wahuni tu kama wahuni wengine kwa kuwa hatuwaelewi wanavyoongeaKaribu humu kwa sababu YNWA
Kule tusiposhinda hatuna vibe kiviiile. Unaweza ukamsalimia mtu akakutukana ghafla.
Naona Kipa nae kazingua tumepigwa tayariUle uzi kila mtu kavurugwa
Si uliona ile Clip video ya Jana,hata kocha kavurugwa anataka ang'oe vidole vya watu
Love youHappy new year my babe Baba Swalehe
Mashabiki uchwaraNilipoona tu Golini limeanza Pazia nilijua hii mechi tayari ngumu.
kwa sasa amekuwa anazunguka kila sehemu aisee,ameiprove sana .Nampenda sana Szobo, Nampenda Mac Allister, Lakini Curtis Jones amekuwa ni Most important Midfielder kwa sasa.
Hawa akina Vvd wangepumzika tu tujue moja ni mechi ya kufungwa.
Pengo la Trent wangu hiloo
Nikalale zangu mie,nikamuuguze tu Trent.
Sina wa kumuangalia uwanjani.
that's the Liverpool Way
ndugu yangu Nunez angekuwepo Tz tungesema amelogwa aisee Leo utulivu alikuwa nap wakutosha sema ndo hivyo kila kila akiona mpira umetoka kwa Nunez anageuka kuwa prime De gea
Nampenda sana Szobo, Nampenda Mac Allister, Lakini Curtis Jones amekuwa ni Most important Midfielder kwa sasa.
Huyu Bradley hiki kiwango alichokionyesha kwenye kukaba nimejikuta naomba trent ahame hii nambaHawa akina Vvd wangepumzika tu tujue moja ni mechi ya kufungwa.
Pengo la Trent wangu hiloo
Nikalale zangu mie,nikamuuguze tu Trent.
Sina wa kumuangalia uwanjani.