Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

IMG_20240110_231501_306.jpg

Mechi yake ya 200 leo
 
Hawa akina Vvd wangepumzika tu tujue moja ni mechi ya kufungwa.

Pengo la Trent wangu hiloo
Nikalale zangu mie,nikamuuguze tu Trent.
Sina wa kumuangalia uwanjani.
 
Nilipoona tu Golini limeanza Pazia nilijua hii mechi tayari ngumu.
 
that's the Liverpool Way

ndugu yangu Nunez angekuwepo Tz tungesema amelogwa aisee Leo utulivu alikuwa nap wakutosha sema ndo hivyo kila kila akiona mpira umetoka kwa Nunez anageuka kuwa prime De gea
 
Hawa akina Vvd wangepumzika tu tujue moja ni mechi ya kufungwa.

Pengo la Trent wangu hiloo
Nikalale zangu mie,nikamuuguze tu Trent.
Sina wa kumuangalia uwanjani.

Mbona hivyo lakini??

Nunez two assists
Jota two chances created
Jones one goal
Gakpo one goal.

Nunez katufanyia manuva, pole pole tu atakuwa SAVIOR

YNWA
 
that's the Liverpool Way

ndugu yangu Nunez angekuwepo Tz tungesema amelogwa aisee Leo utulivu alikuwa nap wakutosha sema ndo hivyo kila kila akiona mpira umetoka kwa Nunez anageuka kuwa prime De gea

Nunez anazidi kuimarika siku hadi siku. Alipoingia tu uliona tulivyofika kwenye box kiwepesi. Kweli anakosa anakera sana ila jamaa awapo uwanjani heka heka zake zinatoa mwanya wengine kufunga.

Kabakiza padogo sana. Wataumia wapinzani. Abadili jina liwe Nunez D.
 
Bradley Bradley Bradley. Huenda tukapata solution nzuri ya RB akikomaa TAA asogee kati

Graven he is still Struggling to find his legs, but soon he will rock.
Idea ya Elliot as RW hapana ni uongo mechi mbili hajatupa tunachofikiri anacho. Better to Play any of Nunez/Jota/Diaz as RW and Elliot acheze as RCM he is good there.

Konate another good performance, Gomez as LB [emoji91]. Vvd not on his days. Happy to see Gakpo on a scoresheet.
 
Back
Top Bottom