Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Najua upo kwenye utani kuhusu Mane, ila tuongee uhalisia kwa nilichokisoma mahali jana.
Bayern walijikuta Mane ndiye top earner wao, haikuwa shida, ila ilikuwa ni kwa nini mwafrika awe top earner? Zengwe likaanza Tuchel akatumwa amwambie Mane atakuwa 3rd choice LW. Hakuitwa Mane wala wakala wake. Hivyo Bayern wanted to get rid of him.
Baadae wakasema atauzwa kwa 17M baada ya kumuona jamaa anautwanga wakasema atauzwa kwa 30M, kumbuka hawakuwa na sababu ya moja kwa moja ya kumvunjia mkataba.
Kumbe katoto ketu kabisaMie bwa mdogo, umri wangu ni Jerome ni kurua na doto.
Hahah
Kwa muda mrefu humu hatukuwahi kuwa na mtetezi. Sasa rasmi kwa upande wa kupepeta ngenga wewe ni mtetezi wetu.
Bob Paisley may he Rest In Peace...Kwa 21st Century kwa mfumo wa 4-4-2 hichi kikosi ni sawa kabisa.
Ila kwa mfumo wa 4-3-3 basi hapo kati ya Suarez au Torres lazima mmoja atoke ili kwenye Mido aingie mmoja kati ya Mascerano au Fabinho.
But kwa kikosi changu cha muda wote basi ni 👇👇
John Barnes - I. Rush - Salah
Alonso - Gerrard - Dalglish
Robbo - VVD - Ph. Thompson - TAA
Bruce Grobbelaar
Kocha: Bob Paisley
Umeanza eee...Bobby hebu nichambulie hawa watoto 😂
Hatukumaliza ujue,, nikashangaa pekeyangu natoa macho.
Basi nichambulie hata mguu kengeza Strika la Dunia Nunez.
Ishu ya Onana sijaifuatilia na kweli hata sijajua kuwa hayuko national team.
Kwa upande mwingine, tumuache abaki huku EPL maana yeye ndiye anatusaidia sisi wapinzani kujichotea points kwa manyumbu [emoji2][emoji2]
Hii stori nimeisoma Facebook leo
Hivihivi ulivyosema.
Maskini Mane
Heri angebaki tu Liverpool.. mshahara kidogo lakini maisha ya amani.
Kumbe katoto ketu kabisa
Haya nipe shkamoo mimi mama yako mdogo[emoji23]
Hawa arse8 walianza kujimwayamwaya humu kisa tu wanabembea kwenye kuti kavu
Huyu Henry anaipenda LiverSaint Anne naona Kijana wa Arteta kaweka kambi huu 🤣🤣🤣
Huyu Henry anaipenda LiverSaint Anne naona Kijana wa Arteta kaweka kambi huu 🤣🤣🤣
Kaweka kambi humu umpe na kiti kabisa aje ikiwezekana na kitanda awe analala humu humu 🤣🤣🤣Huyu Henry anaipenda Liver
Basi tu anashindwa kusema
Tufukuzie haters humu, unawamudu
Alishaona kule arse8 ni utapeli mtupuKaweka kambi humu umpe na kiti kabisa aje ikiwezekana na kitanda awe analala humu humu 🤣🤣🤣
Kule tusiposhinda hatuna vibe kiviiile. Unaweza ukamsalimia mtu akakutukana ghafla.Alishaona kule arse8 ni utapeli mtupu
Hakukaliki