Huyu Bradley hiki kiwango alichokionyesha kwenye kukaba nimejikuta naomba trent ahame hii namba
Tuliambiwa bila ya Salah tutapoteana haya hesabu inaanza sasa bila ya Salah 👇
1) Arsenal kafa kwake ✔️
2) ........
Et ndio Arteta anamtakaJones ameimprove sana sana. Sasa amemuelewa Klopp. Atupe consistency full january to feb. Then he will have his Song.
Jamaa anaupiga sana kwa sasa.
Nilipoona tu Golini limeanza Pazia nilijua hii mechi tayari ngumu
Hivi vitoto vilishanusa harufu ya ubingwaHuyu Bradley hiki kiwango alichokionyesha kwenye kukaba nimejikuta naomba trent ahame hii namba
Saviour bila kufunga?Mbona hivyo lakini??
Nunez two assists
Jota two chances created
Jones one goal
Gakpo one goal.
Nunez katufanyia manuva, pole pole tu atakuwa SAVIOR
YNWA
❤️Love you
Kweli dogo nguvu anazoNunez anazidi kuimarika siku hadi siku. Alipoingia tu uliona tulivyofika kwenye box kiwepesi. Kweli anakosa anakera sana ila jamaa awapo uwanjani heka heka zake zinatoa mwanya wengine kufunga.
Kabakiza padogo sana. Wataumia wapinzani. Abadili jina liwe Nunez D.
Karibu timu ya Dunia MkuuMashabiki uchwara
This season we are witnessing what does depth real mean.
Mechi hizi Tumeshinda na moja kudraw kwa mchango wa players from the bench.
Newcastle both matches.
Fulham two matches.
Crystal Palace.
Arsenal FA cup.
Luton (draw).
Ukiwa na bench lenye quality litakupa output nzuri.
Missing our players and we are still on winning streak:-
Salah
Endo
TAA
Szobo
Robbo
Tsimikas
Matip
Green light ahead 2024
YNWA.
Huyo dogo siyo pazia
Dogo anadaka hadi fainali anakupa kombe unamwita pazia!