Huyu Mparaguay tutamkubali tu.......sasa hivi hatutaki.Mbona hivyo lakini??
Nunez two assists
Jota two chances created
Jones one goal
Gakpo one goal.
Nunez katufanyia manuva, pole pole tu atakuwa SAVIOR
YNWA
Naam! Ni mkabaji mzuri; alimtia mfukoni vizuri sana Willian. Ninahisi ana shida na upigaji wa krosi tu! Tumsubiri mechi ijayo atatuonesha makuu zaidi.Huyu Bradley hiki kiwango alichokionyesha kwenye kukaba nimejikuta naomba trent ahame hii namba
Saviour bila kufunga?
Akishaweza kufunga sasa tutamwita Mkombozi bila kuwa na shaka.
Nililala aisee
Naangalia leo
Kweli dogo nguvu anazo
Kila kitu anafanya ila kufunga tu nahisi kwao walimuwangia asifunge.
Aliyemroga dogo amuachie aisee,anatia huruma.
Nunez rocks..🔥Despite only coming on in the 56th minute, Darwin Núñez had the highest xG (0.76), the most touches in the opposition box (12), completed the most dribbles (3) and had the joint most shots (4) of any Liverpool player last night, as well as assisting both goals. Exuberance.
We never complained when Firmino was not scoring but was creating for Salah n Mane...El Pantera. Suala la Muda
Nina imani tupo katika mikono salama. Wana maeneo kadhaa ya kuongezea bidii zaidi na tutakua na watatu wakali sana pale mbele...Gapko - Nunez - Jota hii ndiyo itakayokuwa our New front 3 pale Salah atakapoondoka.
Mkuu ni Uraguay.Huyu Mparaguay tutamkubali tu.......sasa hivi hatutaki.
Kuna mtu humu anapenda sana hizi stori[emoji1787]Atakaa sawa. Magoli keeper nao wakimuona Nunez wanakua prime Neuer.
We never complained when Firmino was not scoring but was creating for Salah n Mane...
Soon utasikia Klopp akisema Nunez is the system, he is the engine of front line.. [emoji91]
YNWA
Kuna mtu anapenda sana hizi stori [emoji1787]Atakaa sawa. Magoli keeper nao wakimuona Nunez wanakua prime Neuer.
Nina imani tupo katika mikono salama. Wana maeneo kadhaa ya kuongezea bidii zaidi na tutakua na watatu wakali sana pale mbele...
Nunez anaedea na zoom calls kutoka kwa Marcelo Kocha wake wa Taifa ili ajiweke pazuri zaidi kushambulia nyavu....
Gapko Klopp akumbali acheze namba yake LW na tutaona magoli zaidi...
Jota na pepo la majeraha lipite hukoo na awe mzima zaidi pindi anavyohitajika.
YNWA
Hizi saves za Kelleher watu ni kama hamzioni
SijapendA Fisi aisee,wangetafuta mnyama mwingine