Chambuzi la dunia hamis77 mmempeleka wapi? [emoji23][emoji23][emoji23]Upo.
Tena ngoja tupige pige watu mechi 2-3 utaona jinsi unanoga.
View attachment 2879967
Since he joined Arsenal in 2020, Gabriel is the highest scoring CB in the league (11 goals).
Mambo kama haya na zaidi utayakuta kule kwenye uzi wetu kwa wingi. Tumeweka tu kwenye hard drives tunasubiri tuchabange wapinzani kwa wingi kwanza.
Ushauri wa bure wa kirafiki nakupa. Usimchokoze Hamis aisee. Tukianza kushinda kwa wingi akiamua kuwaandama mtajuta kufungua uzi wa Livakuku. Akiamua anaweza kumfanya Klopp huyo best coach wenu tangu Livakuku ianzishwe aonekane kama tapeli mmoja tu kama yule wa unyumbuni.Chambuzi la dunia hamis77 mmempeleka wapi? [emoji23][emoji23][emoji23]
Away is tricky... But EPL is epic so i Expect we give our best.Our next EPL game ni against asses…. Away
Any predictions?
Nunez kati ni unplayable... Jota what's a boy... Gapko super subHahah kila goti litapigwa na ulimi utakiri kwa kelele za shangwe
Diaz sielewi nini kimemkuta baada ya ile injury kutekwa wazazi ni kama ame switch off...Kuna muda mpira una ukatili sana.
Embu fikiria
No Salah
No Endo
No Szobozslai
No Robbo
No Tsimi
No Trent
No Matip
That performance from the boys mpaka unawasahau wasiokuwepo.
Macca stepped up kwenye 6. Role was insane yesterday.
Jones wowowo boy has come from where we had seen him.
Konate ameiva hii january ametupa good performance.
Gomez & Bradley assists [emoji91][emoji91][emoji91]. Naimani Bradley akipata game time green light kwa Trent into the MF.
Diaz & Graven still find their feet wish all the best.
Kudos to the boys
YNWA
🤣 Duniani pamenoga... Ubao unasoma Majogooo ambao hata hawakua bookies favourite wamekalia kiti cha Uflame wa Ligi.Mie hapa sijafikia level hizo za uzalendo. Niliangalia kote kote dakika zote. Tunasikitisha hatuna Energy ya kumsaka mpinzani licha ya kuwa pungufu. Tupo tupo tumejaa siasa badala ya uhalisia.
Turudi duniani
We won 0-4
Darwin scored 2.
Jota scored 2.
Assisters
Jota.
Gakpo.
Bradley.
Gomez.
YNWA
Soon utamuona MF huyu mwamba 🙈🙈🙈🙈🙈🙈nilivyokua nakomaa apigwe bei kwa kuumia umia sasa... Gomez apewe na mkataba mpya kabisa na ndio mchezaji pekee aliebakia kikosini kutoka enzi ya Rodgers.Gomez, with the 26-year-old emerging as Klopp’s Mr Versatile, performing with distinction as a centre-back, a right-back or, more recently, as a left-back with both Andy Robertson and Kostas Tsimikas sidelined through injury.
Apewe maua yake Mr Versatile [emoji323][emoji323][emoji323][emoji257][emoji257][emoji257][emoji257]
Imagine ana enjoi life Liverpool huku akicheza namba sio 'yake'... By tradition huyu dogo sio HM au DM lakini kwa kua mtiifu kwa Mwalimu Klopp amekubatia ile nafasi na kujituma kadri awezavyo..
Our next EPL game ni against asses…. Away
Any predictions?
Nunez kati ni unplayable... Jota what's a boy... Gapko super sub
Who is next... [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]
Kid RB is fearless...
Mac best game in a red shirt in closing the channels i guess he has watched Fabinho or Rodri clips..
Jones minus the injury has upped his game..
Gomez assit its cant get better than that...
YNWA
Diaz sielewi nini kimemkuta baada ya ile injury kutekwa wazazi ni kama ame switch off...
Man i was a bit sceptical usajili wa Konate kutokana na rekodi ya injuries pale Ujeremani lakin dogo akiwa fit anatisha mno hapitiki ni jasiri kabisa hakika ni mwamba...
YNWA
Our next EPL game ni against asses…. Away
Any predictions?
[emoji1787] Duniani pamenoga... Ubao unasoma Majogooo ambao hata hawakua bookies favourite wamekalia kiti cha Uflame wa Ligi.
YNWA
Vigongo viwili hatareNot bro
Epl next match Chelsea 31st jan Anfield, then Arsenal Feb 4.
Our fixtures:-
24/1/2024
Fulham vs Liverpool (Carabao semi final 2nd leg).
28/1/2024.
Liverpool vs Norwich (FA fourth Round).
31/1/2024
Liverpool vs Chelsea (EPL)
4/2/2024
Arsenal vs Liverpool (EPL)