Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Upo.
Tena ngoja tupige pige watu mechi 2-3 utaona jinsi unanoga.

1705958999060.png

Since he joined Arsenal in 2020, Gabriel is the highest scoring CB in the league (11 goals).

Mambo kama haya na zaidi utayakuta kule kwenye uzi wetu kwa wingi. Tumeweka tu kwenye hard drives tunasubiri tuchabange wapinzani kwa wingi kwanza.
 
Upo.
Tena ngoja tupige pige watu mechi 2-3 utaona jinsi unanoga.

View attachment 2879967

Since he joined Arsenal in 2020, Gabriel is the highest scoring CB in the league (11 goals).

Mambo kama haya na zaidi utayakuta kule kwenye uzi wetu kwa wingi. Tumeweka tu kwenye hard drives tunasubiri tuchabange wapinzani kwa wingi kwanza.
Chambuzi la dunia hamis77 mmempeleka wapi? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Chambuzi la dunia hamis77 mmempeleka wapi? [emoji23][emoji23][emoji23]
Ushauri wa bure wa kirafiki nakupa. Usimchokoze Hamis aisee. Tukianza kushinda kwa wingi akiamua kuwaandama mtajuta kufungua uzi wa Livakuku. Akiamua anaweza kumfanya Klopp huyo best coach wenu tangu Livakuku ianzishwe aonekane kama tapeli mmoja tu kama yule wa unyumbuni.

Unaona jinsi manyumbu yanatetemeka kila wakiona Hamis kaingia unyumbuni kupost. Kule watu wakiona post ya Hamis imeingia tu, hata kabla hawajaisoma, siku zao zinaharibika hapo hapo. Wapiga wake na watoto na walevi wa Sinza pale unyumbuni ni wengi na sababu kuu ni Hamis.
 
Hahah kila goti litapigwa na ulimi utakiri kwa kelele za shangwe
Nunez kati ni unplayable... Jota what's a boy... Gapko super sub

Who is next... 🔥 🔥 🔥 🔥

Kid RB is fearless...

Mac best game in a red shirt in closing the channels i guess he has watched Fabinho or Rodri clips..

Jones minus the injury has upped his game..

Gomez assit its cant get better than that...

YNWA
 
Kuna muda mpira una ukatili sana.
Embu fikiria

No Salah
No Endo
No Szobozslai
No Robbo
No Tsimi
No Trent
No Matip

That performance from the boys mpaka unawasahau wasiokuwepo.

Macca stepped up kwenye 6. Role was insane yesterday.

Jones wowowo boy has come from where we had seen him.

Konate ameiva hii january ametupa good performance.

Gomez & Bradley assists [emoji91][emoji91][emoji91]. Naimani Bradley akipata game time green light kwa Trent into the MF.

Diaz & Graven still find their feet wish all the best.

Kudos to the boys

YNWA
Diaz sielewi nini kimemkuta baada ya ile injury kutekwa wazazi ni kama ame switch off...
Man i was a bit sceptical usajili wa Konate kutokana na rekodi ya injuries pale Ujeremani lakin dogo akiwa fit anatisha mno hapitiki ni jasiri kabisa hakika ni mwamba...

YNWA
 
Mie hapa sijafikia level hizo za uzalendo. Niliangalia kote kote dakika zote. Tunasikitisha hatuna Energy ya kumsaka mpinzani licha ya kuwa pungufu. Tupo tupo tumejaa siasa badala ya uhalisia.

Turudi duniani
We won 0-4

Darwin scored 2.
Jota scored 2.

Assisters
Jota.
Gakpo.
Bradley.
Gomez.

YNWA
🤣 Duniani pamenoga... Ubao unasoma Majogooo ambao hata hawakua bookies favourite wamekalia kiti cha Uflame wa Ligi.

YNWA
 
Gomez, with the 26-year-old emerging as Klopp’s Mr Versatile, performing with distinction as a centre-back, a right-back or, more recently, as a left-back with both Andy Robertson and Kostas Tsimikas sidelined through injury.

Apewe maua yake Mr Versatile [emoji323][emoji323][emoji323][emoji257][emoji257][emoji257][emoji257]
Soon utamuona MF huyu mwamba 🙈🙈🙈🙈🙈🙈nilivyokua nakomaa apigwe bei kwa kuumia umia sasa... Gomez apewe na mkataba mpya kabisa na ndio mchezaji pekee aliebakia kikosini kutoka enzi ya Rodgers.

YNWA
 
Imagine ana enjoi life Liverpool huku akicheza namba sio 'yake'... By tradition huyu dogo sio HM au DM lakini kwa kua mtiifu kwa Mwalimu Klopp amekubatia ile nafasi na kujituma kadri awezavyo..
Makofi kwake tafadhali kusema ana furaha tele ni habari njema... Ingekua ana spidi mbona hii namba akipona Thiago watupe double pivot design kama Caicedo pale Sea Gulls...

YNWA
 
Our next EPL game ni against asses…. Away

Any predictions?

Not bro
Epl next match Chelsea 31st jan Anfield, then Arsenal Feb 4.

Our fixtures:-

24/1/2024
Fulham vs Liverpool (Carabao semi final 2nd leg).

28/1/2024.
Liverpool vs Norwich (FA fourth Round).

31/1/2024
Liverpool vs Chelsea (EPL)

4/2/2024
Arsenal vs Liverpool (EPL)
 
Nunez kati ni unplayable... Jota what's a boy... Gapko super sub

Who is next... [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]

Kid RB is fearless...

Mac best game in a red shirt in closing the channels i guess he has watched Fabinho or Rodri clips..

Jones minus the injury has upped his game..

Gomez assit its cant get better than that...

YNWA

Bradley [emoji91][emoji91]

Gomez first senior goal loading…

Konate composure past three matches incredible.

Macca yes. Best ever performance under Liverpool Jersey let him keep it consistently

Jones woah..!!! We need this kinda performance week in week out.

Robbo
Trent
Szobozslai
All are back.

We are still on safety mode.
YNWA
 
Diaz sielewi nini kimemkuta baada ya ile injury kutekwa wazazi ni kama ame switch off...
Man i was a bit sceptical usajili wa Konate kutokana na rekodi ya injuries pale Ujeremani lakin dogo akiwa fit anatisha mno hapitiki ni jasiri kabisa hakika ni mwamba...

YNWA

Diaz alionesha kiwango kikubwa sana mechi ya Newcastle, Klopp subbed him nafikiri ilimuathiri tena, atleast he got goal vs Arsenal. Let him keep hard working he will come good.

Konate when fit is something else, anacheza line yote kule nyuma covering za hatari, good timing with his tackling.

Let him stay fit.We need him badly.
 
[emoji1787] Duniani pamenoga... Ubao unasoma Majogooo ambao hata hawakua bookies favourite wamekalia kiti cha Uflame wa Ligi.

YNWA

With good points margin. Na inasaidia kutupunguzia pressure vile hatutajwi kwenye ubingwa.

Tume click just from nowhere, missing key players still matokeo tunapata, vijana wameongezeka ubora compare na last season

Nunez
Elliot
Jones
Gomez

Bradley
Quansah

Imagine missing your best RB in a couple of games, your LB’s, nearly 1-3 months and its like nothing has happened.

Im waiting for Graven and Diaz to find their feet.

YNWA
 
Not bro
Epl next match Chelsea 31st jan Anfield, then Arsenal Feb 4.

Our fixtures:-

24/1/2024
Fulham vs Liverpool (Carabao semi final 2nd leg).

28/1/2024.
Liverpool vs Norwich (FA fourth Round).

31/1/2024
Liverpool vs Chelsea (EPL)

4/2/2024
Arsenal vs Liverpool (EPL)
Vigongo viwili hatare
 
Back
Top Bottom