๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ ๐๐๐๐๐๐ฏ๐ฏ๐ฏHeloooo Miss Liverpool haha.We ntakuchapa๐๐๐๐
Humu ndani hakuna anayenizidi uzalendo๐คฃ๐คฃ
Ngekuwa majuu huko si ajabu ningekuwa hata kocha๐
Inategemea siku hio tutakutana na Chelsea ipi uwanjani...Liverkuku msijisahau mnakutana na Chelsea nyinyi bila kubebwa hamtoboi kwetu
Muone ๐๐๐๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ ๐๐๐๐๐๐ฏ๐ฏ๐ฏHeloooo Miss Liverpool haha.
YNWA
Ni jirani yangu hapa TukuyuUnamjua Malafyale ?
Na anapita kutukana wapinzani ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃJukwaani hapa hakuna anayemzidi Chairman wangu Malafyale kwa uzalendo. Anaiombea team na kwakweli bila maombi yake tusingekuwa hapo tulipo sasa..
Kwahiyo katimu kako kupita carabao umeamua kufufukaLiverkuku msijisahau mnakutana na Chelsea nyinyi bila kubebwa hamtoboi kwetu
Sitaki iwe draw tena mambo ya penalty nani anatakaInategemea siku hio tutakutana na Chelsea ipi uwanjani...
Tupo tayari ndugu tarehe 24 mwezi ujao.
Uzuri Chelsea vs Liverpool hua ni mchakamchaka tangu atue Mourhno na Roman pale ushindani/mechi dhidi yetu umekua top drawer...
YNWA
Mbona nipo tu nitaianzaje kuikimbia team yanguKwahiyo katimu kako kupita carabao umeamua kufufuka
Kichapo kipo palepale๐๐hadi mseme
๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ Kwa hapo ana fit sana tu aka Miss Liverpool.Hapana! Huyo sio plastic fan ni mshereheshaji tu ๐
Manure kuna ARV
Chelsea kuna Ollachuga
Sisi tuna Saint Anne
Arsenal sijajua wana nani
Kila uzi lazima tu kuwepo na Mtu wa kuzunguka majukwaa mengine kusherehesha.
Penati Hapana aisee itakua mechi sijui ya ngap fainali tunakwenda penati ukianza na ile Fainali ya Super Cup.Sitaki iwe draw tena mambo ya penalty nani anataka
๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ ๐๐๐ Amefanya aje tenaMuone ๐๐๐
Humu ndani mimi ndo mnyonge wako ๐คฃ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ ๐๐๐ Amefanya aje tena
YNWA
๐๐๐๐๐Una maanisha vice versa hahahaHumu ndani mimi ndo mnyonge wako ๐คฃ
Nadhani wanajamvi wanaona na kujua ukweli kwamba mimi ndo mnyonge wako๐๐๐๐๐๐๐๐๐Una maanisha vice versa hahaha
YNWA
Mbona nipo tu nitaianzaje kuikimbia team yangu
Muda wa kudraw na vimidtable team tunautoa wapi?hatuna muda wa kupoteza kabisa maana vikombe vyote vinatusubiri.Sitaki iwe draw tena mambo ya penalty nani anataka