Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣 🤣 🤣 😍😍😍😍😍💯💯💯Heloooo Miss Liverpool haha.We ntakuchapa😂😂😂😂
Humu ndani hakuna anayenizidi uzalendo🤣🤣
Ngekuwa majuu huko si ajabu ningekuwa hata kocha😛
Inategemea siku hio tutakutana na Chelsea ipi uwanjani...Liverkuku msijisahau mnakutana na Chelsea nyinyi bila kubebwa hamtoboi kwetu
Muone 😂😂😂🤣 🤣 🤣 😍😍😍😍😍💯💯💯Heloooo Miss Liverpool haha.
YNWA
Ni jirani yangu hapa TukuyuUnamjua Malafyale ?
Na anapita kutukana wapinzani 🤣🤣🤣🤣Jukwaani hapa hakuna anayemzidi Chairman wangu Malafyale kwa uzalendo. Anaiombea team na kwakweli bila maombi yake tusingekuwa hapo tulipo sasa..
Kwahiyo katimu kako kupita carabao umeamua kufufukaLiverkuku msijisahau mnakutana na Chelsea nyinyi bila kubebwa hamtoboi kwetu
Sitaki iwe draw tena mambo ya penalty nani anatakaInategemea siku hio tutakutana na Chelsea ipi uwanjani...
Tupo tayari ndugu tarehe 24 mwezi ujao.
Uzuri Chelsea vs Liverpool hua ni mchakamchaka tangu atue Mourhno na Roman pale ushindani/mechi dhidi yetu umekua top drawer...
YNWA
Mbona nipo tu nitaianzaje kuikimbia team yanguKwahiyo katimu kako kupita carabao umeamua kufufuka
Kichapo kipo palepale😂😆hadi mseme
🤣 🤣 🤣 🤣 Kwa hapo ana fit sana tu aka Miss Liverpool.Hapana! Huyo sio plastic fan ni mshereheshaji tu 😅
Manure kuna ARV
Chelsea kuna Ollachuga
Sisi tuna Saint Anne
Arsenal sijajua wana nani
Kila uzi lazima tu kuwepo na Mtu wa kuzunguka majukwaa mengine kusherehesha.
Penati Hapana aisee itakua mechi sijui ya ngap fainali tunakwenda penati ukianza na ile Fainali ya Super Cup.Sitaki iwe draw tena mambo ya penalty nani anataka
Humu ndani mimi ndo mnyonge wako 🤣🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 😎😎😎 Amefanya aje tena
YNWA
😆😆😆😆😆Una maanisha vice versa hahahaHumu ndani mimi ndo mnyonge wako 🤣
Nadhani wanajamvi wanaona na kujua ukweli kwamba mimi ndo mnyonge wako😂😂😂😂😆😆😆😆😆Una maanisha vice versa hahaha
YNWA
Mbona nipo tu nitaianzaje kuikimbia team yangu
Muda wa kudraw na vimidtable team tunautoa wapi?hatuna muda wa kupoteza kabisa maana vikombe vyote vinatusubiri.Sitaki iwe draw tena mambo ya penalty nani anataka