Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

"What we learned over the years if you want to be around City, you better win all your games," said Klopp. "This is the league, this is the time City are dominating. They play incredible stuff and would probably consider themselves to not be playing their best season.
Jurgen Klopp
 

Mkuu hata Class inategemea form. Ni ngumu sema upo class without form, form ni uwezo wako uwanjani unafanya nini? Hiyo Class inaletwa na talent. Vipaji haviwezi kufanana ndio maana ikaitwa class can be A B C D, itategemeana, hii ndio inaleta hiyo consistency.

Form inaanza ije class ije consistency. Huwezi just from nowhere huna form with class useme utapata consistency. Ule mwanzo ndio inakupa form sasa baada ya form ndio utafute class ambayo itakuletea consistency.

Form - nini ukifanyacho uwanjani?
Class - unafanya kwa kiwango gani?
Consistency - unamuondelezo navyo?
 
Mtamuelewa tu hata kwa lazima.

Trent ndiye mchezaji bora duniani,ukitoa Mo Salah.


Hivi nani anamuangalia Mane bado?
Ni huruma,kaisha mpira..
Arudi tu Anfield kama vipi.

Ngoja madam nikuambie kwa wewe unafikiri tunamchukia mchezaji au hatumuelewi, hapana

Mfuate mpenzi wa Liverpool yeyote ask him/her about TRENT, atakujibu tunayoyazungumza humu kila siku.

Maoni yako hayapingwi.
 

Na ndio mahali, City anapatia makombe. Licha ya injuries zake huwa anahakikisha haachwi mbali, na kipindi hiki ngumu kukuta City ana majeruhi plus suspension wakati sisi ndio muda wa kukusanyawachezaji wodini
 

Ndiyomana nikasema Bradley yupo kwenye form, while TAA ana class.

Hivyo Bradley anapaswa awe na Class ili awe katika Consistency ndiyo atamueka Bench TAA.

Lakini form aliyonayo sasa ni kama ya Saka msimu uliopita au Foden na Mount msimu wa mwaka juzi walikuwa on fire lakini msimu huu wote wamekuwa Minamino kwasababu form ni ni temporary tu muda wowote inapotea.
 
Shkamoo King
Mabandiko yako unajua kuyapanga yakapangika.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚

Mtafute twin tu akusapoti mimi acha nisimamie ninachoamini πŸ˜‚πŸ˜‚
Nkamu una roho ngumu weweπŸ˜‚
Hapo unadhani kocha atakuwa nani?

Halafu nimekumiss Nkamu mwee
Fanya namna.
 

Kwa ili mtu awe class anahitaji nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…