Apeche alolo
JF-Expert Member
- Apr 14, 2023
- 2,517
- 5,533
babu ni maumivu hapa match ilichhezwa jukwaa likapoa kama uji uliosahaulika kwenye bakuliIla Klop akiondoka sijui itakuwaje... dah!
Jamaa linajua asee....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
babu ni maumivu hapa match ilichhezwa jukwaa likapoa kama uji uliosahaulika kwenye bakuliIla Klop akiondoka sijui itakuwaje... dah!
Jamaa linajua asee....
No,
Form haizai consistency
Class ndiyo huzaa consistency
Unakumbuka form ya SAKA last season pale arsenal? Walifika mpaka kusema ndiye best Winger in the world.
Lakini leo ile Form yake ipo wapi? Kwasababu hakuwa na Class.
Unawakumbuka Ansu Fati, Isco na Asensio?
Ansu Fati alionekana kama ndiye mrithi wa Messi akapewa mpaka Jezi namba 10 lakini yupo wapi?
Isco na Asensio wakaonekana kama ndiyo new Ronaldo pale Madrid lakini waliishia wapi?
Hii yote ni kuwa walikuwa kwenye form tu lakini hawakuwa na class.
Sir Alex Ferguson alishasema kitambo kuwa "Form is temporary but class is permanent".
Form ziliwafanya [emoji116]
- Dele Alli aonekane Modric
- Tammy Abraham aitwe Drogba
- Gavi aitwe Xavi
- Mason Mount asajiliwe Manchester
- Odoi asiuzwe Bayern kwa £40M
Leo hii wachezaji waliokuwa katika form wote wamepotea wamebaki wale waliopo kwenye Class tu.
FORM HAITENGENEZI CONSISTENCY, CLASS NDIYO HUTENGENEZA CONSISTENCY.
Mtamuelewa tu hata kwa lazima.
Trent ndiye mchezaji bora duniani,ukitoa Mo Salah.
Hivi nani anamuangalia Mane bado?
Ni huruma,kaisha mpira..
Arudi tu Anfield kama vipi.
Ila Klop akiondoka sijui itakuwaje... dah!
Jamaa linajua asee....
"What we learned over the years if you want to be around City, you better win all your games," said Klopp. "This is the league, this is the time City are dominating. They play incredible stuff and would probably consider themselves to not be playing their best season.
Jurgen Klopp
Aaah binafsi simuamini Nkamu, naona bado mapema sana kumpa timu kwa sasa.Nkamu kwani wewe humwamini mfalme wa mpira Gerrard?
😂😂😂😂😂Hee
Nunez alipewa penati?
Ama kweli watu wanachezea shillingi kwenye tundu la choo.
.
Jamaa anakabia macho tu unategemea atapata majeraha? [emoji23]Trent ni moja ya wachezaji wachache wenye kupata majeraha ya muda mrefu.
Mechi ya juzi alitimiza michezo 300 at the age of 25.
Great scoucers more to come.
YNWA
Nkamu usiwe hivyo na Imani haba🤣🤣🤣Aaah binafsi simuamini Nkamu, naona bado mapema sana kumpa timu kwa sasa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jamaa anakabia macho tu unategemea atapata majeraha? [emoji23]
Mkuu hata Class inategemea form. Ni ngumu sema upo class without form, form ni uwezo wako uwanjani unafanya nini? Hiyo Class inaletwa na talent. Vipaji haviwezi kufanana ndio maana ikaitwa class can be A B C D, itategemeana, hii ndio inaleta hiyo consistency.
Form inaanza ije class ije consistency. Huwezi just from nowhere huna form with class useme utapata consistency. Ule mwanzo ndio inakupa form sasa baada ya form ndio utafute class ambayo itakuletea consistency.
Form - nini ukifanyacho uwanjani?
Class - unafanya kwa kiwango gani?
Consistency - unamuondelezo navyo?
Shkamoo KingNdiyomana nikasema Bradley yupo kwenye form, while TAA ana class.
Hivyo Bradley anapaswa awe na Class ili awe katika Consistency ndiyo atamueka Bench TAA.
Lakini form aliyonayo sasa ni kama ya Saka msimu uliopita au Foden na Mount msimu wa mwaka juzi walikuwa on fire lakini msimu huu wote wamekuwa Minamino kwasababu form ni ni temporary tu muda wowote inapotea.
Kwenye hili hapana Nkamu 😂😂Nkamu usiwe hivyo na Imani haba🤣🤣🤣
Nkamu sisi ni nduguKwenye hili hapana Nkamu [emoji23][emoji23]
😂😂Nkamu sisi ni ndugu
Tusapotiane kwenye yote ujue[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ngoja nimtafute twin anisapoti[emoji23]
Nkamu una roho ngumu wewe😂😂😂
Mtafute twin tu akusapoti mimi acha nisimamie ninachoamini 😂😂
Ndiyomana nikasema Bradley yupo kwenye form, while TAA ana class.
Hivyo Bradley anapaswa awe na Class ili awe katika Consistency ndiyo atamueka Bench TAA.
Lakini form aliyonayo sasa ni kama ya Saka msimu uliopita au Foden na Mount msimu wa mwaka juzi walikuwa on fire lakini msimu huu wote wamekuwa Minamino kwasababu form ni ni temporary tu muda wowote inapotea.
Shkamoo King
Mabandiko yako unajua kuyapanga yakapangika.