King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,117
- 6,897
Mkuu hawajamaa bado washamba aisee. Yaani kutufunga leo sisi ndio wanaona watachukua ligi,😀. Wanashindwa kukumbuka mpaka sasa wamefungwa mechi ngapi? (Hawanasifa ya kuwa bingwa-wapo,kwenye hiyo nafasi ratiba imewabeba tu) Na wana mechi bado pale etihad.
Naona pia hata kupata ushindi kwa wenzetu ni taabu sana ndio maana wakipta ushindi tu wanaweuka.
Kati ya mechi 24 tumewafunga 3 tu. Mnategemea tukae kimya? Acha ushamba. Lazima tuwatambie mtujue sisi ni nani vikuku nyie 😄😄.Mkuu hawajamaa bado washamba aisee. Yaani kutufunga leo sisi ndio wanaona watachukua ligi,😀. Wanashindwa kukumbuka mpaka sasa wamefungwa mechi ngapi? (Hawanasifa ya kuwa bingwa-wapo,kwenye hiyo nafasi ratiba imewabeba tu) Na wana mechi bado pale etihad.
Naona pia hata kupata ushindi kwa wenzetu ni taabu sana ndio maana wakipta ushindi tu wanaweuka.
Chukueni ubingwa wazee. Siyo lazima City achukue, ameshauzoea. Sasa tumemletea ushindani.Hii kauli ya kuwa Bingwa ni Man City ni kauli ya loser tu ambao wao wanajiona hawana uwezo wa kupambana hivyo wanakimbilia kwa City.
Ligi haijawa closed race kiasi ya kwamba Man City anakimbia one horse race.
Ligi ipo Open hata Liverpool anaweza kubeba Ubingwa.
Tena ukiangalia kwa makini hii second round vile visiki vyote Man City, Chelsea, Spurs, Brighton, Newcastle ratiba imewataka waje Anfield.
Strong game ambayo Liverpool anayo Away ni Manure pekee baada ya hii ya Arsenal.
Hivyo namalizia kusema Ubingwa bado upo Open.
Klopp aache kulalamika akubali matokeoF.c Lia Lia
[emoji599] Klopp: “A lot of things went against us”.
“This referee gave me red card against City for wrestling situation - Bernardo & Salah”.
“Today same with Jota that didn’t get a red card. Unbelievable”.
“Holding by Havertz on Konate… Gabriel did same with Nunez, no yellow card”.
haitadumu mkuu, maana mechi ijayo wanakutana na the hammers ugenini, halafu kumbe mechi ya kwanza walifungwa pale emirates 2 bila.Unadhani furaha yao itadumu? Keshokutwa tu watapigwa Wamtukane Arteta na Hamis77.
Kombe lenu msimu huu ni kumfunga LiverpoolMuda utasema View attachment 2894723
F.c Lia Lia
[emoji599] Klopp: “A lot of things went against us”.
“This referee gave me red card against City for wrestling situation - Bernardo & Salah”.
“Today same with Jota that didn’t get a red card. Unbelievable”.
“Holding by Havertz on Konate… Gabriel did same with Nunez, no yellow card”.
Kilio chenu chajaNakuhurumia sana. Yaani sijui hata ulikuwa unawaza nini. Yaani kweli ulifikiri...au ulikuwa umetumia kileo...au basi acha tu...
Bisheni lakini mtaonaYou sound emotional bro!
Na nakumbuka niliwajibu vizuri tu kuwa Salah hana mechi kubwa kwake zote ni ndogo sio kama hawa wengine ndani ya dakika 90 wanapiga only one on target na goli lenyewe wamefungiwa na Arsenal.
Last game dhidi ya Arsenal kila mmoja aliona alichokifanya Salah.
Sasa Saint Anne tuwasubiri hapa waje wamwage sifa za game ya jana kuwa Liverpool imecheza vizuri bila ya Salah si walihadaiwa na game za Carabao na FA.
Mkuu hawajamaa bado washamba aisee. Yaani kutufunga leo sisi ndio wanaona watachukua ligi,😀. Wanashindwa kukumbuka mpaka sasa wamefungwa mechi ngapi? (Hawanasifa ya kuwa bingwa-wapo,kwenye hiyo nafasi ratiba imewabeba tu) Na wana mechi bado pale etihad.
Naona pia hata kupata ushindi kwa wenzetu ni taabu sana ndio maana wakipta ushindi tu wanaweuka
Timu yako ni ya ngapi kwenye msimamo wa ligi?
Jamaa yupo Slow sana
Lakini huwezi kumlaumu,bado ana muda.
Ndio kwanza hajamaliza hata msimu mmoja tangu aje.
Umeongea vizuri sana
Ila hujamgusa Allison mwanzo mwisho.
Mkuu hawajamaa bado washamba aisee. Yaani kutufunga leo sisi ndio wanaona watachukua ligi,[emoji3]. Wanashindwa kukumbuka mpaka sasa wamefungwa mechi ngapi? (Hawanasifa ya kuwa bingwa-wapo,kwenye hiyo nafasi ratiba imewabeba tu) Na wana mechi bado pale etihad.
Naona pia hata kupata ushindi kwa wenzetu ni taabu sana ndio maana wakipta ushindi tu wanaweuka.
Mkuu hii game ilikuwa tricky sana kwetu Arsenal acha tufurahi.
Mngetufunga gape lingekuwa points 8. Na City bado angetuacha zaidi.So ushindi ulikuwa muhimu zaidi kuzingatia hilo.
Mengine ya kawaida tu kwa timu bora zikukutana.
Pia Bingwa ni City msimu huu kila mtu anajua hilo.
Klopp aache kulalamika akubali matokeo
Ila kiukweli mtindo wa Allison kutoka nje ya goli na kukaa karibia katikati ya uwanja ,utadhani naye ni beki aisee hii tabia inanikera sana.