Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Kelleher the great[emoji91]Na leo anadaka kipa wako nambari 1 dogo Kelleher... Allison bado anaumwo.
YNWA
Kwahiyo alikuwa anaongea vipi na Mwalimu na wenzie?Haha sounds really cool. Ataweza sasq kuwasiliana vyema na wachezaji wenzake uwanjani na mazoezini ili kazi iedelee vyema kufumania nyavu.
YNWA
Nifungie man city tu mkuu.Kwa upande wetu Arsenal, siwezi kusema hizo mechi ndiyo muhimu kwa sababu tuna tabia mbaya ya kupoteza au kutoka sare mechi zingine ambazo tunatakiwa kushinda, kama zs Fulham na West Ham.
Anguko lenu litaanzia hapa kwa huyu mwamba. Kipa mzuri mwenye vijikosa vidogo vidogo vinavyogharimu timu. Akikosea mechi moja tu washabiki wakimpigia kelele siku mbili-tatu, kwisha habari yake. Anapoteza confidence. Kazi yenu inabiki kugawa point 3 kwa kila anayehitaji.Kelleher the great[emoji91]
Adake hadi mwisho
Bora achukue Man City sio kwa sababu ya kelele za mashabiki wa ArsenalHaya ni mawazo yako.
Ukitoa kuipenda Liverpool kitu chengine ninachokipenda ni EPL.
So, kama Liverpool itakosa mafanikio basi at least EPL ifanikiwe.
Siwezi kuona Pep anaigeuza EPL farmers League kama league 1.
So bora sana kwangu achukue Arsenal kuliko City ili kulinda heshima ya EPL.
Mambo ya kuwa sijui Arsenal wana maneno, waongeaji, watatucheka n.k. hayo yote sio mambo ya kimpira wala hayana nafasi kwangu.
Only I care ni Liverpool and EPL, nothing else.
Yule nishamuua zamani sana mkuu.Nifungie man city tu mkuu.
Ramli kama Ramli [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nifungie man city tu mkuu.
muue tena chiefYule nishamuua zamani sana mkuu.
Bora achukue Man City sio kwa sababu ya kelele za mashabiki wa Arsenal
Bali kwa sababu ya uwekezaji mzuri wa team yao
Ili timu zetu zijue nini maana ya uwekezaji mzuri hasa hasa kwenye usajili
Ndicho nilichomaanisha.muue tena chief
Kama sisi ni jealous kwa Arsenal.No, Mafanikio ya Man City sio issue ya Uwekezaji.
Ni issue ya right Coach
Right Players
Hata Chelsea Msimu huu wamefanya uwekezaji Mkubwa kuliko City je wamepata nini?
Man United inafanya uwekezaji Mkubwa sana je wamepata nini?
Usipokuwa na right coach uwekezaji hauwezi kukusaidia chochote.
Pep ndiye anayeipa Mafanikio Man City akisaidiwa na uwekezaji na sio uwekezaji pekee.
Narudia tena wengi wanaotaka Man City abebe Ubingwa ni Jealous tu kwa Arsenal na si jengine.
Mimi ninachoangalia ni kuinusuru EPL na si jengine hata Arsenal abebe tu alimradi EPL iwe salama.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Gerrard anatosha wakubwa ni mzalendo kweli kweli[emoji16][emoji16]View attachment 2883295
Ko huyu ndo star pekee aliempa fair well, kweli kuku ni timu ndogo sana
Kama sisi ni jealous kwa Arsenal.
Basi na wewe ni jealous kwa Man City
NimekuelewaNimeshatoa reason yangu hapo juu
Jealous ni pale unaposema asishinde Arsenal eti atatucheka au wana maneno hizo sio sababu za kimpira.
Unaweza sema unasapiti Arsenal asibebe kombe kombe na ukatoa sababu za kimpira lio si kwasababu tu watatusema.
Mimi nimemsapoto Arsenal asichukue kombe kwasababu za kimpira kuongeza ushindani kwenye League ili isigeuka Farmers League.
So, mimi sijaongelea kitu out of Jealous.