King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,117
- 6,897
Nunez the great🔥Saint Anne unasalimiwa na Nunez
Kajota kameumia lini?Injuries za kikosi cha kwanza 👇
1) TAA
2) Alison
3) Szobo
4) Matip
5) Jota
6) Jones
Mungu ajaalie zisiongezeke
Huyu Thiago ndio nomaMwisho wa Msimu tuondoshe hawa Thiago na Matip EPL haiwataki tena wanaumia hata kwenye mazoezi
Pole sanaAnguko lenu litaanzia hapa kwa huyu mwamba. Kipa mzuri mwenye vijikosa vidogo vidogo vinavyogharimu timu. Akikosea mechi moja tu washabiki wakimpigia kelele siku mbili-tatu, kwisha habari yake. Anapoteza confidence. Kazi yenu inabiki kugawa point 3 kwa kila anayehitaji.
Kama ni uwekezaji basi wape ChelseaBora achukue Man City sio kwa sababu ya kelele za mashabiki wa Arsenal
Bali kwa sababu ya uwekezaji mzuri wa team yao
Ili timu zetu zijue nini maana ya uwekezaji mzuri hasa hasa kwenye usajili
Ila tuna kikosi kipana sanaInjuries za kikosi cha kwanza 👇
1) TAA
2) Alison
3) Szobo
4) Matip
5) Jota
6) Jones
Mungu ajaalie zisiongezeke
leo kipindi cha kwanzaKajota kameumia lini?
Dah masikinileo kipindi cha kwanza
Daah mkuu hadi sub umefanya😅🙌Kama sikosei next gemu itakua Anfied mkuu ebu tazama vizuri na ni tarehe 10/3/24....
Hapa kuna mechi kadhaa za kimataifa zinakuja cha kuombea ni kwanza majeruhi waliopo especially Domy na Salah wapone na pia hizi mechi zinazoedelea tusipate tena maumivi mapya..
Mpira dakika 90+ na ndani ya Anfied chochote kinawezakana aisee.
Mlete kipara japo wanatisha lakini hakuna namna bhana ni lazima kuwafunga hawa ili kujiweka sawa kwenye hizi mbio za ubingwa
Kikosi cha kumpiga Kipara
Allison
Bradley Konate VVD Robbo
Jones Macca Domy
Diaz Nunez Salah
Sub dakika ya 70 toa Jones weka Gapko, dakika ya 70 toa Diaz weka Jota, dakika ya 82 toa Robbo weka Gomez dakika 93 toa Domy weka Elliot
Game finished
YNWA