Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Anguko lenu litaanzia hapa kwa huyu mwamba. Kipa mzuri mwenye vijikosa vidogo vidogo vinavyogharimu timu. Akikosea mechi moja tu washabiki wakimpigia kelele siku mbili-tatu, kwisha habari yake. Anapoteza confidence. Kazi yenu inabiki kugawa point 3 kwa kila anayehitaji.
Pole sana
Kelleher unamjua?

Haya sasa matokeo si umeyaona?
 
Kama sikosei next gemu itakua Anfied mkuu ebu tazama vizuri na ni tarehe 10/3/24....

Hapa kuna mechi kadhaa za kimataifa zinakuja cha kuombea ni kwanza majeruhi waliopo especially Domy na Salah wapone na pia hizi mechi zinazoedelea tusipate tena maumivi mapya..
Mpira dakika 90+ na ndani ya Anfied chochote kinawezakana aisee.

Mlete kipara japo wanatisha lakini hakuna namna bhana ni lazima kuwafunga hawa ili kujiweka sawa kwenye hizi mbio za ubingwa

Kikosi cha kumpiga Kipara
Allison
Bradley Konate VVD Robbo
Jones Macca Domy
Diaz Nunez Salah

Sub dakika ya 70 toa Jones weka Gapko, dakika ya 70 toa Diaz weka Jota, dakika ya 82 toa Robbo weka Gomez dakika 93 toa Domy weka Elliot
Game finished

YNWA
Daah mkuu hadi sub umefanya😅🙌
 
Speaking at full-time of Liverpool's 4-1 win over Brentford, Klopp said on the injuries:

"Mixed emotions because we lost players, which we don't know how serious they are. It doesn't look great for either of them (Jota and Jones)."
 
Back
Top Bottom