residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,146
- 11,434
Hatimaye kipara kadondosha 2 za muhimu, now nipo kwenye "Uhuru Peak" nakula baridi na "Label Nyeusi" kwa bilauri..Kipara Kipara Kipara na bado ata drop point sehemu ambayo hakuna mtu atakaye amini .
Hii ndio EPL haijawahi kuwa rahisi.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] CHEARSSSSSSSS
Ndio Nunez leo alijisikia kama kaumia fulani hivi ndio maana sub hawakutaka kum risk zaidi... Ngoja tuone vipimo zaidi zitasema aje.Nunez?
Eti marasi ha [emoji1]Mara paaa , Manshiti 0 : 1 Marasi
Si bule benfika itakua wamemtupia majiniNunez can score wonder and miss an open net
Hadi atakapoacha wengeHatimae umekubali
Amin,π₯π₯π₯Sisi kama Chelsea tunataka bingwa awe Liverpool [emoji375][emoji375][emoji375]
Imbeni nyimbo zote ila mwisho wa siku Mabingwa ni sisiIli uwe bingwa lazima uonyeshe ubabe kwa Wakubwa wenzako, sijawahi kuona bingwa anayeshinda mechi ndogo huku zile za Wakubwa wenzake akichapika.
Hahahaaaaaaa
Hatuhitaji ubingwa wa kusaidiwa na timu nyingine.
Kila timu ipambane kimpango wake.
Arsenal akitoboa hapa bas ubingwa wakeView attachment 2907381
Ili uwe bingwa lazima uonyeshe ubabe kwa Wakubwa wenzako, sijawahi kuona bingwa anayeshinda mechi ndogo huku zile za Wakubwa wenzake akichapika.
Mkuu nitazihofia timu nyingne ila sio MURIFE......ππππMpaka sasa game ambayo nahisi tupo kwenye hatari ya kupoteza ni against Manure.
Hawa ndani ya Anfield siwahofii kabisa
- Spurs
- Man City
Kipara anatufanya maadui tuwe marafik. Wote tunaombeana tumfunge City na tunaombea kila atakayekutana naye amfunge au sare kama tulivyomuombea Chelkenge jana. Sisi tutajuana wenyewe kwa wenyewe mbele ya safari ππKitu pekee kwasasa tunashindwa ni kumuombea mwenzako apoteane.
Naamini na wewe unaomba tuwe katika form ili tumfunge Man City uwe juu yake.
Na mimi nakuombea uwe katika form ili umfunge Man City.
Ukweli usiofichika mimi sikuhofii wewe bali namuhofia yule Kipara kama Januari Makamba.
Na wewe hunihofii mimi bali unamuhofia Kipara.
Kipara tatizo lake hacheki na Nyani linapokuja suala la mechi hizi za kumalizia ligi π
Mimi sio wa kushangilia vile goli la Sterling... π₯²π₯²π₯²π₯²Kipara anatufanya maadui tuwe marafiki
Kila mtu ashinde mechi zake basiKipara anatufanya maadui tuwe marafik. Wote tunaombeana tumfunge City na tunaombea kila atakayekutana naye amfunge au sare kama tulivyomuombea Chelkenge jana. Sisi tutajuana wenyewe kwa wenyewe mbele ya safari [emoji1][emoji1]
Kila mtu ashinde mechi zake ila kipara apigwe zake, baba ubaya nae apigwe tuKila mtu ashinde mechi zake basi